![Big Fat Cheque](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/06/683d530d21c7405f9a69af7cf0199c5a_464_464.jpg)
Big Fat Cheque Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Big Fat Cheque - Breeder LW
...
Yeeh ! Ahh ! Ikidunda ni ya Vince !~~~(we was down,we was down but things got better,but things got,but things go.....
Yoh!
(we was down but things got better'things,but things got)
Chorus !
We was down but things got better,big fat cheque juu ya meza.From the gutter nifikie macheda lazima lazima tushike ma acres.Ghetto youth on a mission remember vile siku siujaza calender Kuna siku moja utaja penya, lazima lazima tushike macres × 2
Yooh !! One man army Kanairo ndani macho ni road to riches ,my bros never leave me hanging Tk mzima si imejaa ma sick head.mjuniour Ako missing mbali na baby mams anadai nimlishe,but fam ni fam na blood is thicker so misijaai lose interest.Ma origi pekee no rejects tulienza tenee from ages,ni step by step on stages naremenise nikisip am faded.one mic na mediscus zishuke zifwatane ka bible pages.Akikuja hajaiva descent minaeza tell anadai some babys
Ningeomoka na futa before nikakosa kujitama nikaflop ,never been lucky ofcourse labda baraka za jah jah ndio mob,Hii jaman kwa jam si neutral na alele ni ya kareako.na mabanga wa kwende uko nilishikwa bila kubreak law.mafun jua inakam kueni wapole Kuna vitu naplan,maisha naishi kwa Gram tofauti sana ukikuja kwa ground,budangu alijam nlimlet down I hope ata understand mi si pilot engineer ama surgeon but I am still the man.
CHORUS !! × 2
Yooh !!
Ntakuchapia mbilli tatu vile unaweza kua Numero uno,ataka msupa upenda mabad boy usiwai omba pussy na fujo.Arif engineering graduate Ako mtaani anakinda ma bull dog,hapa Kenya ahadi ni chocha deep state ishageuzia ruto,bidii bidii ndio najua nikesema inakua nishua ,shingo icey skia mafuu.aaah aah! minaugua, one time for the time tulikosa chuani ya kijaman kumaliza presha ,pesa imelost mashake on sale wanauzia nani hizo acres ,sku Hizi nablain matesla bank transfer no empesa,idhaa pia ime enda enda madha analia nafaa kujenga,ops niliskia wako emba Niko tasia na mamember, operation kuwatenda ching na man Hadi abaki mteja,life is a gamble bra but Leo si ka kesho man,kwa mangoma nafa kusnap , but Leo mi nabonga facts,niliface my fears one on one mi sijui kurelax ,nableed kwa beat feel my pain naifanyanga from the heart.
Chorus × 2
"Budangu alijam nlimlet down but I hope ata understand ,mi si pilot engineer ama surgeon but I am still the man.Ni step by step on stages nireminisce nikisip am faded,mafuns jua nakam Kueni wapole Kuna vitu naplan"
@Mandelaco77 cc Breeder Lws Sister