![Nipe Love ft. Masauti](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/15/a0d98d252ee248a2ba2c12d48e30ec08.jpg)
Nipe Love ft. Masauti Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Nipe Love ft. Masauti - Breeder LW
...
Yeah....
Masauti Kenyan Boy...
Bazenga...
Yeah Yeah eeei..
Nahhl nah nah naaah...
Yeah...Ah
(CHORUS)
Nataka tuchome kimoja nikupe love ghetto love mama...
Kwangu uwe number moja aamini utafurahi mah..
Nataka tuchome kimoja nikupe love ghetto love mama...
Kwangu uwe number moja aamini utafurahi mah...
Me nataka leo nikupe love....
Me nataka leo pia we unipe love mama
Me nataka leo nikupe love....
Me nataka leo pia we unipe love mah
Me nataka leo nikupe love....
Me nataka leo pia we unipe love mah
Yoh...
Vile weh hunimaliza sijui ka una clue
Ever since last time mebnakuwaza tu
Come through my boo hakuna vibe ya uduu
Una class haina wengi we hunibamba tu..
Na ka uko single tunaeza mingle had u giggle
You ready for some for some action ka movie ya Stephen Seagull
Ju vile nakunauwo walai si ni illegal
Your body jeje ni ukismile pia ni dimples mmmhhh
Kuna kitu naona kwako special with you naweza settle hao wengine bado level
I recon weh hujicheki kwa kioo pia unatii
Kwani Jah Jah akikuumba ilikuwa saa ngapi..
Weh ni over 18 tusidhi wazazi ju ikikuja misbehaving me nakuwanga juu ya list
Kisses for breakfast na touching ni tender ndafanya utapepea kama Aladin juu ya mkeka
Later we can link up unaweza vaa off shoulder paka ilete shida you can bring it to the owner
Sssss...ndakilight ndio usifike nikiwa sobber
Ndageuka vegetarian vile joh ushatosha mboga
You know i keep it real ka unajua me ni nani
I'm into you for real if I'm lying then I'm dying
Bazenga ushanibamba hadi naongea kilami
Ukifika kwa mlango ring the bell niko ndani
(CHORUS)
Nataka tuchome kimoja nikupe love ghetto love mama...
Kwangu uwe number moja aamini utafurahi mah..
Nataka tuchome kimoja nikupe love ghetto love mama...
Kwangu uwe number moja aamini utafurahi mah...
Me nataka leo nikupe love....
Me nataka leo pia we unipe love mama
Me nataka leo nikupe love....
Me nataka leo pia we unipe love mama
Me nataka leo nikupe love....
Me nataka leo pia we unipe love mama
Me nataka love nikupe love
Me nataka leo pia we unipe love mama
No filter ukipita bado watavunja vichwa..
Jaber dendi liet kama jua ya saa sita..
Ka utakuwa wangu ndio nitajua niko na kissmat..
Na hivi ganji zangu we ukitaka we maliza
Your wish is my command ka unadai niwache FIFA
Ps5 ni nini mi ntaitupa ndani ya pipa
I see a wife in you ndio motive ya hii balad
Na huyo msee ako juu yangu na usipoteze balance
Romance Kwangu ni me na we tukiwa wawili
Tukibadilishana DNA bila any ..
Uko under arrest Fathela asha kcuff
Tom Ford on your neck unanukia na si bluff
T Clan president na deserve first lady
Drip huwa sheria na sijawahi work navy
Nakucheki ukinicheki jicho nyanya lavy
Sexiness galore teasing me and acting crazy
Lingerie kwa dim lights, washa uburn me si mind
Sweet wine na cloud nine imagine zinge coincide
Weh ni Saji Taurus me ni Cancer mummy
Alphabetically unaweza seti D ndani ya P
Ukinisim juu Y we were destined to be
Girl I love the way you put it on me
After foreplay kabla me ni proceed, si ati nachocha utatekwa utatii
(CHORUS)
Nataka tuchome kimoja nikupe love ghetto love mama...
Kwangu uwe number moja aamini utafurahi mah..
Nataka tuchome kimoja nikupe love ghetto love mama...
Kwangu uwe number moja aamini utafurahi mah...
Me nataka leo nikupe love....
Me nataka leo pia we unipe love mama
Me nataka leo nikupe love....
Me nataka leo pia we unipe love mama
Me nataka leo nikupe love....
Me nataka leo pia we unipe love mama
Me nataka love nikupe love
Me nataka leo pia we unipe love mama