![Genjeness](https://source.boomplaymusic.com/group2/M1A/9C/C2/rBEeNF5vb_iAWunwAADzkpfSEZY741.jpg)
Genjeness Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
Genjeness - Breeder LW
...
Yeh Yeh Yeh,
Yeh Yeh Yeh Yeh Yeh Yeh,
Bazengaa
Tuki,
Step in ni commotion ,hatu settle
Ma peng ting kuwazungusha kama peddle,
Nikiwa kwa form,Jua ni genje,ni genje,
Nikiwa kwa form,Jua ni genje,ni genje,
Step in ni commotion ,hatu settle
Ma peng ting kuwazungusha kama Nikiwa kwa fom Jua Ni Genje ,Ni genje,
Nikiwa kwa fom,Jua ni genje ni genje
Bazu Bazu,Wabebe juu kwa juu ,
Bazu Bazu,Wabebe juu kwa juu,
Aki ya nani sija chase hii vodo walai,
Aki ya nani leo sitoki solo walai,
Ma gala wananisuka na wanaweza,
We una pupa na umefika na Impreza,
Ma fuck boy wamedie nywele kama dexter,
Na mashashola ndani ya satchet ya ketepa,
Ehh!!
Big Drip,Hii ni Nile apana Tana,
Kuna msupa ameibwa weave kwa hii turn up,
Mzuka full genjeness in abundance,
Sishiki tenje ka hatubongi biashara,
Tuki,
Step in ni commotion ,hatu settle
Ma peng ting kuwazungusha kama peddle,
Nikiwa kwa form,Jua ni genje,ni genje,
Nikiwa kwa form,Jua ni genje,ni genje,
Step in ni commotion ,hatu settle
Ma peng ting kuwazungusha kama peddle,
Nikiwa kwa form,Jua ni genje,ni genje,
Nikiwa kwa form,Jua ni genje,ni genje,
Hii ni vibe ya ki bazu na fom iko tru,
Na sipendi hawa ma zuzu hubleki kwa loo,
Leta kichwa,kachumbari na ki supu,
Ati hujali mbele ya watu unani busu,
Ma taxin ndio zimefura kwa mdomo,
Niko sete na kwa pori ni ma Jomo,
Nachocha Benzema niwashie ki jamo,
Ngoma kali itawashika mpaka Lagos,
TK mandugu zangu wako area,
Ka umejipin usilipue ki ndeng'a,
Kuna makwella nataka nitoke nao later,
Wakiniboh niwa curve kama Beckham,
Tuki,
Step in ni commotion ,hatu settle
Ma peng ting kuwazungusha kama peddle,
Nikiwa kwa form,Jua ni genje,ni genje,
Nikiwa kwa form,Jua ni genje,ni genje,
Step in ni commotion ,hatu settle
Ma peng ting kuwazungusha kama peddle,
Nikiwa kwa form,Jua ni genje,ni genje,
Nikiwa kwa form,Jua ni genje,ni genje,