
Chuki Nichukie Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2015
Lyrics
Chuki Nichukie - Jahazi Modern Taarab
...
……
Chuki sikizingitiii cha kukosa nilichopewa
Kuandikiwa bahati bure wewe kunichukiaa..*2
Mola mgawa wa bahati mafungu katupangiaa
Tena huwa tofauti aliopewa hupokeaa*2
Ndo riziki inavyokuaa
Inavyokuaa*2
Kukosa unapangiwa na kupata majaaliwa*2
Wee mwenzangu nichukie
Ila roho niachiee
Chuki singao ya kunizibia riziki
Mola ndie anaetoaa
Nakunifanyia mwao sitazipata khilakii
Buree wee kunichukia
Mungu kaweka mgao kwa maelfu na malaki
Na makumi na mamia
Hatawapa awapo ndo kazi yake maliki uwezii weka paziaa
Chuma ugeuzii mbao ungeuziii
Shuka haiwiii kanikii haiwiii
Mwezii ungeuziii jua ungeuziii
Chukii si ngao ya kunizibia riziki aah bure lako dondaaa
Angaika nenda mbia utaifunga rizikii ah mbona utakonda