Mpenzi Chocolate Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2015
Lyrics
Mpenzi Chocolate - Jahazi Modern Taarab
...
imefika...... siku yenu .......
nyie..... kuwaaaambia ukweli
huo unafiki wenu....
na huo ufedhuri
hatuachani kwa maneno yenu
labda apende...... apende jalali
endeleeni na miundo mbinu
siye tume na tutazidi kweli
yeye ndo chocolate wangu
na mimi kwakwe pipi kali
moyoni nadhibitiwa
anayenificha baridi kari
weka slow calling
nakutamani wewe
unifiche baridi
mwili joto wee ×2
unapo ingia.. uni
malaika hunisimama mimi
hamuu hamu hizi
hebu nikumbatie ×2
pole nyie mafisadi
wenye roho za ukaidi
yeye ndiye wangu waridi
raha zake kwangu huzidi×2
ananipa raha
ananipa raha ndani ya roho
nawapa karaha
nawapa karaha mnaoumwa roho
message zenu, zenu za karaha
mie hazi.. hazinirushi roho
hamtaki sie.. sie tule raha
tutazidi kuwaumiza roho×2
kiwe kimoto ananipulizia
nikiwa na joto ananipepea
mzigo mziyo huja kunitua
yenye koroto ananifulia×2
yeye ndo kila kitu
mpenzi chocolate
yeye ndo habit wangu
siwezi chochote
kama ni tamu
nailamba... najiachia
kama ni hamu
naipenda haniisabilia×2
ananitia hash..... hash wa huru
kumuacha sitaki.... nitajidhurumu
kidonda tamu mwenzenu hufia
hapapa tamu ndo maana nimetulia