
Aso Kasoro Lyrics
- Genre:Taarab
- Year of Release:2021
Lyrics
Aso Kasoro - Jahazi Modern Taarab
...
........ ........... ........................ .. Kasoro si maumbile.... Au rangi ya mwilini {x2} Kasoro ni... ni vitu viilee..... vilokuba venye imani {x2}....... .......... ..... ........................... . Unapojitia pangu kuyasema ya wenzako kuwa hayajatimiaaaa si vizuri mlimwengu kwanza yatimaze yako uanze kukosoa {x2} Iiiiih si wema neno chungu.... kutangaza ya wenzako.... yako ukayafungiaa.... kelele za nyingunyingu japo ngoma so yako kibwebwe kujifungia {x2} Siku moja tuh ya Munguu... itatoka aibu yakoo.. uso utajinamiiaaa... endelea na majunguuu naaa kuyastiri yakooo.... aibu itakuumbuaaaaa. .. {x2} ...... .... ..... ....................... ............................ ........ Kasoro yangu ni nini? ?? ooooh ni nini... ata iwe yakunikwezaaaaa.... . na yenu hamuyaoni... hamuyaoni au ndo chongo kuitwa kengezaaa..... {x2}. . ..... ................................. Zuri liwe zuriniii...... ila Mungu kumpendezzaa....... sio afurahi fulanii...... mwengine kumuumizaaaa.... {x2}......... Swaga izo swaga ganiiiii.......... sio issue kunikandamizaaaa...... asokasoro Mananiiii........ mja acha kujikwezaaa.. aaaaaa.. {x2}......... ..... Asokasoro ni Munguu........ (oooooooh n Munguu).. ... pekeee alo timiaaaa (pekee alotimiaa)... nasema kasoro yangu (nasema kasoro yangu).... ilhali hamjatimia.. (aaah hamjatimiaa)...... ..................... Hehe heiyyyaaaaa... weeeeee chidi boy........ ondosha chombo icho ........... ................... .................. ............ ...... .................................... ...... .... ......................... ................................................................................ Bore zenu kero mlonifanyia mnazo kasoro hamjatimia................ {x2} Na wala hamna geni kwa hayo mnayofanyaaa.. kama nnawakerenii.. sikatai kunikanyaaa hizo swaga zakizamani kama vipi mngeminyaaa..... ....... . Bure zenu kero (oooh) mlonifanyiaaa (aaaah) mnazo kasoro (oooh) hamjatimia(aaaah) {x2} ...... . ....... ........... .... ...... .......... ...... ...................... ..... .............. .... ............................... ........... .. ....... Nacheza na jahazi kwaraha zetu najua hamtuezi n majungu tuuuuh.................................. ... ...................{x2} wewe za big daddy huu ni ujumbe toshaaaa wataelewaaa tuhh............ ....................... ............ Mie ndo Fatuma Nyoro Originally mtoto wa kizanzibariiiiiii.