
JAHAZI KAZI YA MUNGU Lyrics
- Genre:Taarab
- Year of Release:2022
Lyrics
JAHAZI KAZI YA MUNGU - Jahazi Modern Taarab
...
ewe mja fahamu yakwamba halina ubanii lakuvundax2 nahata ukipangiwa na wadudi nahuwa ndokazi yake haitiwi mkono nahuendeshwa na yeye rabuka kuweka na kuondosha ni kazi yake rabuka akishapanga mja huna uwezo wa kupangua tunajida sisi waja mola kuingilia