NIMESAMEHEWA Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
NIMESAMEHEWA - Paul Clement
...
ADUI NAYE ANAKAZANA KUNIFANYA NISISOGEE
AUARIBU MOYO WANGU WA IBADA UWE HARUFU MBAYA KWA BWANA
KAJENGA KIBURI NDANI YANGU,
KAJAZA UCHAFU NDANI YANGU KATEGA KABURI MBELE YANGU
ILI NIANGUKE BILA KUONA
KWANZA ALINIKOSESHA,KISHA KAFANYA MASHTAKA NIONAKANE KUWA NA MAKOSA
KUMBE NILISHA SAMEHEWA,KUMBE NILISHA SAMEHEWA
ADUI YANGU NIKWAMBIE MUNGU ANA SAMEHE NA KUSAHAU UNACHO SHTAKI YEYE HAKIJUI ,UNACHO SHTAKI YEYE HAKUMBUKI
NIMESAME-HEEWA NIMELIPIWA DEENI MIMI SI MTUMWA TENA,MIMI SI MTUMWA TENA
NIMESAHEWA KWA DAMU YA YESU ,NIMEKOMBELEWA KWA DAMU YA YESU
LILE DENI NALO DAIWA HALIPO TENA*3
ILEHATI YA MASHITAKA HAIPO TENA HAIPO TENA
NIMESAMEHEWA KWA DAMU YA YESU
NIMEKOMBOLEWA KWA DAMU YA YESU
NDIO NIMOKOMBELA,
KWELI NIMESAMEHEWA