
Homa Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2021
Lyrics
Homa - CSM
...
HOMA -CSM WAZITO
INTRODUCTIO
Kubwa
ItsMitindoNaBaila
Oooh Nananaaaaaaah
Wazito!!
Hilo pepekale akitembea, mwendo kama anatege.. (Tege)
Sitakitena unikenge , moyo wangu moyo ukaujaza maleenge (Lenge)
Nikupeleke tu kwa mama bebe, (hiiii abebe)
Chokochoko za masnich na gene, (innoss)
Mtoto yani supu supu, nimuongeze tu vichumvi
Nailono alivyobeba chugu kasauti ka chiriku
Yaani mtoto ako sexy natamani nimpeleke tu magetto.. (Maghetto, Maghetto)
Tena ana kababy feso, akicheka vidimpo tele usoniii... (usoni)
Aunataka nizipige pambaaa, niweke virasta kama vile vany Boy...
Tulia nitazichanga bebee, we nikiboko kama yule wa kenyanBoy.. Me
Unanipahomaaa...
Chorus
Homaaaa,
Nitadie nitadie....
Homaaaa Me unanipa Homaaaa
Homaaaa,
nitadie nitadie iih!
Homaaaa Baila boooooy
Penzi lanzi kwako hadi kifo
Me never leave you for their info
Give it to me ta nobole Chopo
Come hone tukeshe daily kama Popo
Your the queen homa ripata dawa,
Okadzunu hokahi here' kadzinu,
Me truly love you sijakupendea nunuuu
Achonyi wangu homa si ripata dawa..
Nisawa nakwamba omudzi upata chinu
Nitsakafunda nigwanda retigbwatigbwa (Eeeh aah)
replay hashangalia omudzi upata chinuuu
Innoss
Tutoke mitoko toko toko
Tupige maphoto photo photo
Tutoke mitoko toko toko
Tupige maphoto photo photo (Eeeeh)
Me
Unanipahomaaa...
Chorus
Homaaaa,
Nitadie nitadie....
Homaaaa Me unanipa Homaaaa
Homaaaa,
nitadie nitadie iih!
Homaaaa Me unapa Homaaaa ×2
Baila
Iiiiiiiicon Baila boy
Am so happy with you mamama
Kumiss love yako lawama
Haujakaaa umesimaamaaa
Weeehaaaa mamaaaa...
Hoho rifoko, Cute and Innocent
To me ooh my you ma heaven sent
Ulinipenda nikiwa sina hata cent
Nichitsoka nitseswe tena nerekwe..
Innoss
Vile tuku tuku tuku
Aah msambwanda unaniita
Akilewesha zile tepe tepe tepe
Mpaka siwezi kabisa
Nipeyote bila kipimooo ooh
Nakhwahidi biro sindakucheat
Unapendeza uko fookooo oooh
Madanga mjinii hawakufikiiii
Naukipita zile Tukuuuu!
Aah msambwanda unaniita
Akilewesha zile tepe! tepe! tepeeeee!
Mpaka siwezi kabisa
Grandmasterteknix.