
Foko Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2020
Lyrics
Foko - CSM
...
FOKO - CSM WAZITO
Introduction.
It's Mitindo na Baila (hey)
Ooh noo noo!! Baila-Boy, Wazito!
Verse 1
Yeah sure choko foko,
It's your boy,niite kaboko,
Show me some love for my dance called foko,
Oh yeah, it's called foko,
So choko foko,acha Shaku piga foko,
Sote kwa dance floor style jina foko,
Ni local ni moto dance wakubwa na wadogo,
Choko foko may you come do the foko,
New dance style inaitwa fokofoko,
Foko hatari kama uma yani foko,
Foko ni local piga foko piga local,
Hujui basi sinyaa piga luku ujue foko,
Kama una simu unaweza uka take photo,
I like that style so comical zaidi ya Shaku,
Jinsi unavyodance husinywi hata kidogo,
Yeah, sure, that is called fokofoko.
CHORUS
So ni foko (huuuuwi)
Its called Foko (Wanaimanya bewee?
Foko(That's my style,that's my style)
It's called foko (aaaaaah!!)
Foko(huuuuwi!!!)
Its Foko(aijaijaijaijaah)
Foko(That's my style that's my style)
It's called foko(aaaaaah)
Verse 2
Hilo uno vile lilivyofungwa tenge(Tenge!)
Unanifanya mwenzio nahangaikaa,
Macho kama umeyatia dege,(deegee)
Mapigo ya moyo mwenzio yanizidiaa,
Njoo tucheze fokofoko foko isokote,
Kama imeanguka basi mamaa iokote,
Kahando chekucheku mpaka foko ishike,
Ukiweza piga photo nami nivimbee ooh yah,
Nauko nyuma singida dodoma,(Alivyojaza wowowo)
Na hata Kama kiraka ntashona,(umenifanya zuzuzu)
Huko nyuma singida Dodomaa (alivojaza wowowoo)
Hata kama kiraka ntashonaa,sina ujanja me ni zuzuzu .
CHORUS
So ni foko (huuuuwi)
Its called Foko (Wanaimanya bewee?
Foko(That's my style,that's my style)
It's called foko (aaaaaah!!)
Foko(huuuuwi!!!)
Its Foko(aijaijaijaijaah)
Foko(That's my style that's my style)
It's called foko(aaaaaah)
Verse 3
Baila-Boy- Apa club no beer nipa dundu(minoo)
Ela chunga tu usidungmbwe chidundu (wee)
Tsawe Tsorisa Hawe Mhwaka forifori,
A Nairobi Nkpwamba ikala Ngorii ,
Inoss - Haina Haja kwa waganga ukaniroge,(niroge)
Kidume mwenyewe nimejibemba,
Mtoto fine nipo nikoroge,
Chuchumaa basi tulicheze foko.
CHORUS
So ni foko (huuuuwi)
Its called Foko (Wanaimanya bewee?
Foko(That's my style,that's my style)
It's called foko (aaaaaah!!)
Foko(huuuuwi!!!)
Its Foko(aijaijaijaijaah)
Foko(That's my style that's my style)
It's called foko(aaaaaah)