
Wa Moto Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Wa Moto - CSM Wazito
...
ooh na nana!
it's Mitindo Na Baila,
Aaah Ah!
wazito!
Eeh! Eeeh!
Nishakufuata chocho kwa chocho
Mtoto uko Bea, We ndo tunda nami popo
Girl unanipa matatizo Ooh!
Sina Uhendwa Be Kwako Nihozo!
Naah!
Umenifanya me Zouzou Uuuh!
Unapikisha Dinner aah
Vinyama nyama visupu pusu
Nimezama mazima. Aah
Rabana Nashukuru,
lile jangwa Langu, limeota Mutende Eeh
Neamba Ndaguza Ta-ngonge
Harusi ichifika nitsinze kadenge.
Kashaniteka sina habari
Aaaah anavyonipa ata sikinai
Mapenzi ya Sharuku Ninajidi
Leo Naniapa, Sikwachi abadani
nisawa nimesarenda
wamoto,
umenifanya kwako zuzu
usoni pini la pua
wamoto
miguuni vjnaprndeza vikuku uh!
Wamoto, aaaah Aaaah
Wamoto
Beta nambedze na unanitsoma
Wamoto Ooh, aaah
aah ye Wamoto!
mame mame