
Baby Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2020
Lyrics
Baby - CSM
...
BABY - CSM WAZITO
Introduction
Bribeng Beng
ItsMitindoNaBaila, Eeehe (oooh!)
Wazito!!
Inoss
Ooh! Baby Moyo wangu mwepesi!
Nakuomba tafadhali usije uchonyoa (Chonyo) Aeeeh!
Tena presha siwezi, nakuomba tafadhali usije dokoa (Doko) aaaEeh!
Usiku wa choko choko, (Choko)
Utamu wa chapo Dondo (Dondo)
Baby tupate na kimoko...
Hiiii aaaeh! Aiyeeeh
Usiku wa chokochoko (Choko)
Penzii La kuchii kuchiii, Baby tupate na Katoto Eeeeh! (Hiiiii)
Chirus
Ooh Baby...., Tunafananaaaaa!
Ooh Baby...., Tunafananaaaaaa Eeeh!
Ooh Baby...., Tunafanaaaaah!
Baby we ndio Roho yangu Uuh, Tunafananaaa Eeeeh EeH!
Verse II
Innos
Ukipita kama vile unaniita,
Mekoni na kanga moko Ukipika...
Chakula kitamu mamaaa,
Navidole Nnarambaa... (Ramba)
Chemsha magi ya vuguu mama
Nafurahii ukinikandaa....
Baila
I no go cheat, am so real Mdzukulu wa wawe kwekwe... ( Mino)
Am in love with you, Ruksa ma Niteke nyuma uko full parked....
Namba, tele kaitsungurirwa Hakiamungu nichikupata Ndahurira,
Ukale mbata and me be chishekulo nikufule fule ta nipate chikulo kulo...
Namba yo nazi ipachulo baila Boy, Papichulo yo nazi ipata chulo, (Eeeeh sindaweza mino)
But i do for my heart mino,
Nidziifunga na Chigwagwa kare...
Eti, mimi nikukose uwe
Muchonyi mimi nitayariii ta kolaghwa weeeee....!!!
Chirus
Ooh Baby...., Tunafananaaaaa!
Ooh Baby...., Tunafananaaaaaa Eeeh!
Ooh Baby...., Tunafanaaaaah!
Baby we ndio Roho yangu Uuh, BailaBoy Tunafananaaa Eeeeh EeH!
Verse III
Baila
Watu huuliza Baila boy why de single..!!?
You make Big money why don't you mingle..?
Hawajui kwako siwezi pinda shingo
Nimekupenda baby girl Huna maringo..
Tupalilie Magugu basiii (Magugu)
Penzi risende na kwewe mame (NaKwekwe)
Tupalilie magugu mame Aaaaah!
penzi risende na Kwekwe..!! Aaeeh!
Inoss
Usiku wa choko choko, (Choko)
Utamu wa chapo Dondo (Dondo)
Baby tupate na kimoko...
Hiiii aaaeh! Aiyeeeh
Usiku wa chokochoko (Choko)
Penzii La kuchii kuchiii, Baby tupate na Katoto Eeeeh! (Hiiiii)
Chirus
Ooh Baby...., Tunafananaaaaa!
Ooh Baby...., Tunafananaaaaaa Eeeh!
Ooh Baby...., Tunafanaaaaah!
Baby we ndio Roho yangu Uuh, Tunafananaaa Eeeeh EeH!