![Neema Nibebe ft. Solomon Mkubwa](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/04/58e47b3e4e93440fafa7a0824b653254.jpg)
Neema Nibebe ft. Solomon Mkubwa Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Neema Nibebe ft. Solomon Mkubwa - Stephen Kasolo
...
Naomba neema inibebe naivunje Sheria
Neema ikinibeba itanitetea ( twice )
Kila lango unalobisha milango imefungwa
kila jambo unalofanya ndugu wangangana
Kila jambo unalofanya mambo ni mangumu Sana,Ninaomba neema ivunje Sheria, Naomba neema ikubebe naivunje sheria maana ikikubeba itakutetea Naomba neema ikubebe naivunje Sheria neema ikikubeba itakupenyeza penya
Naomba neema inibebe naivunje Sheria
Neema ikinibeba itanitetea ( twice )
Neema ni upendeleo sikustahili, Neema ni
upenyo ambapo sikustahili, Kwa neema Yako tunahudumia, Kwa neema Yako tunaishi, Naomba neema ikubebe we mama yangu ivunje Sheria zote zilisimama kwako, Naomba neema ya mungu isimame nawewe baba, hatua Yako yote wanakutetea,Neema, Neema ,Neema ya mungu iwenawe , Neema,Neema,Neema,Neema.
Naomba neema inibebe naivunje Sheria
Neema ikinibeba itanitetea ( twice )
( Naomba Mungu akupe vitu ambavyo hukustahili kupewa, Naomba Mungu akusafirishe pahali ambapo hukustahili kusafiri, Naomba Mungu akupe biashara ambayo hukustahili kuwa. mwanabiashara, Naomba Mungu akufanye kuwa mwanasiasa haukustahili kuwa mwanasiasa,Neema ikubebe, Neemaishughulikie familia yako,Neema ikuangazie kwenye njia zko zote)
Naomba neema inibebe naivunje Sheria
Neema ikinibeba itanitetea ( twice )
( Nibebe eehh, Nibebe eehh, Nibebe eehh, Nibebe eehh, Nibebe eehh , Nibebe eehh,
Nibebe eehh, Nibebe eehh, Nibebe eehh )
Ni Kwa neema tuu ,Ni Kwa neema tuu
( Ukiona unainuliwa na Mungu )
Ni Kwa neema tuu ( Usijisifu ni neema ya mungu yamefanya hayo ) Ni Kwa neema tuu ( Ukianaza safari na ufike salama ) Ni Kwa neema tuu ( Usione ni nguvu zako mwenyewe ) Ni Kwa neema tuu ( Utakapoolewa usiwacheke ambao wajaolewa ) Ni Kwa neema tuu ( Jua ni neema imekupa mume wewe ) Ni Kwa neema tuu ( Ukiomba mtoto na Mungu akupe ) Ni Kwa neema tuu ( Usiwacheke tasa niwa Mungu ) Ni Kwa neema tuu ( Utakapokula nakushiba usiwacheke ) Ni Kwa neema tuu (ambao wanachakula Jua ni neema wewe ) Ni Kwa neema tuu ( Tutakapo omba na Mungu ajibu ( Ni Kwa neema tuu ( Wapendwa tusisahau ni Mungu ametenda ) Ni Kwa neema tuu
Naomba neema inibebe naivunje Sheria
Neema ikinibeba itanitetea ( four times)