![Take Over](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/23/bf0fd109ec754057b3ba0dd873c7b4b1.jpg)
Take Over Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Take Over - Stephen Kasolo
...
wewe ndiwe mungu wa kuogopewa ulifanya misingi ya dunia iwepo. Tupitapo kwa mambo magumu sisi twakuita na kukuambia Jehova take over.×2 ......... wanafunzi wa yesu pale kwenye mashua waliona bahari imechafuka walimuita yesu 'yesu amka' wakamuambia Jehovah take over. yeesu akatuliza bahari atatuliza shida zako take over. chorus×2 Aliyekusudia kunimaliza si mtu wa mbali ni rafiki yangu niliyemdhamini. hakuwa na nia njema,, take over Alitamani kunimaliza,, take over bwana nimenyamaza kimya,, take over Mungu upigane vita,, take over . Bwana ukinitetea,, take over nina imani nitamaliza,, take over Chorus ×2