![Upendo Ule Ule](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/04/18e7e807c2a549acb6b8c618c629035f.jpg)
Upendo Ule Ule Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Upendo Ule Ule - Alice Kamande
...
Upendo wako ni(ule ule )
Hubadiliki(ulele)
Upendo wako ni(ule ule)
Hubadiliki(ulele)
Upendo wako ni(ule ule)
Hibadiliki(ule ulelele)
People people come and go
But your love will never fail
Upendo wako ni
Ule ule
People people come and go
But your love is here to stay
Upendo wako ni
Ule ule
Wewe umwaminifu
Siwezi bila we
Rafiki wa karibu
Umejawa na huruma tena unanipa amani
Upendo wako ni ule ule
Usiyebadilika hata kamwe
Nionyeshe pendo lako
Hata marafiki waniache
Wewe ndiye ule ule
People people come and go
But your love will never fail
Upendo wako ni
Ule ule
People people come and go
But your love is here to stay
Upendo wako ni
Ule ule
Hutaniacha Pweke
Unanipenda
Nifunze kukupenda
kama unavyonipenda
Upendo wako hubadiliki
Unasema wewe ndiwe jana Leo na hata milele
Nifunze kukupenda
Kama unavyonipenda
Na maisha yangu yaonyeshe kuwa nakupenda
Nataka nikuishie
Nikuimbie siku zangu zote
Wewe tu ndiye mwanga
wewe tu wewe tu
People people come and go
But your love will never fail
Upendo wako ni
Ule ule
People people come and go
But your love is here to stay
Upendo wako ni
Ule ule
Upendo wako oooh
Ni ule ule
Ukamtoa mwana ili aje afe
Ili nisipotee bali niwe na uzima wa milele(eeeiiiihh)
Upendo wako
Hautakoma
Unanipenda
Upendo wako ule
Ule ule ulele ule ule ulele
Ule ule ulelelele Ule ule ulelelele
ule ule ulele ule ule ulele
Ule ule ulelelele ule ule ulelelele
People people come and go(people come and go)
But your love will never fail (but your love will never fail)
Upendo wako ni(and your love is here to stay)
Ule ule
People people come and go
But your love is here to stay(haukomi)
Upendo wako ni
Ule ule
People people come and go
But your love will never fail(upendo wako)
Upendo wako ni
Ule ule
People people come and go(unanipenda)
But your love is here to stay(wewe ni bwana)
Upendo wako ni
Ule ule
Ule ule ulele ule ule ulele
Ule ule ulelelele Ule ule ulelelele
ule ule ulele ule ule ulele
Ule ule ulelelele ule ule ulelelele