![Nikupende Wewe](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/04/58324516701a43e48242f049bd786264.jpg)
Nikupende Wewe Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Nikupende Wewe - Alice Kamande
...
Hili ni ombi langu
Unisaidie
Niwe mwaminifu kwako
Niongoze safari
Mawimbi yakija
Unitulize Baba
Wewe ni nguvu yangu
Nikiwa mnyonge
Nakupenda wewe
Uliyenipenda
Nikufahamu Bwana
Kwa roho yangu
Nikupende zaidi
Kuliko vyote
Niwezwshe Bwana
Siku zote nawe
Tamaa ya moyo wangu
Niwe karibu na wewe
Nikupende wa dhati
Rafiki wa dhamani
Ulinipenda kwanza
Kabla nikujue
Wewe ni nguvu yangu
Nikiwa mnyonge
Nakupenda wewe
Uliyenipenda
Nikufahamu Bwana
Kwa roho yangu
Nikupende zaidi
Kuliko vyote
Niwezwshe Bwana
Siku zote nawe
Niongoze katika
Maji matulivu
Rabii unifunze
Nijue utakavyo
Nitakufuata wewe
Popote uendapo
Wewe ni nguvu yangu
Nikiwa mnyonge
Nakupenda wewe
Uliyenipenda
Nikufahamu Bwana
Kwa roho yangu(nikupende we)
Nikupende zaidi(nikupende wewe)
Kuliko vyote(oooh oooh )
Niwezwshe Bwana
Siku zote nawe
eeehhh
nikupende yahweh
wewe wewe
oooohhhh
oooooh ooooh oooohh oooohh
nikupende wewe
uliyenipenda
nikupende wewe
uliyenipenda
nikufahamu Bwana Kwa roho yangu