![Wewe Pekee](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/23/e003e8c0c59a4409a198649516a4db07.jpg)
Wewe Pekee Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Wewe Pekee - Alice Kamande
...
Yeahhh yeahhh yeaahh
Ooooh ooooohh oohhh
Oooohhh
Nafungua Kinywa changu
Nikusifu Baba
Ukuu umenitendea
Nimefika sasa hapa
Wewe kweli ni rafiki
Unaniongoza ninapo potea
Upendo wako niufananishe na nani(Baba)
Taabu nyingi kweli nilipitia
Hadi nikajipata nikikushukuru
Sikujua mpango wako kwangu(Baba)
Ulijua yote nikiyapitia
Mkono wako ulikua umenishikilia nisianguke
Wewe wewe kimbilio langu
Hakuna mwingine
Ni wewe pekee yako
Mbele hata nyuma
Ni wewe pekee
Hakuna mwingine
Ni wewe pekee yako
Mbele hata nyuma
Ni wewe pekee
Tafuta tafuta
Hutampata kama yeye
Alinitoa katika tope la dhambi
Kama sitaona haya
Ya kumsifu Mungu wangu
Siku zote nitamuimbia (Baba)
Taabu nyingi kweli nilipitia
Hadi nikajipata nikikushukuru
Sikujua mpango wako kwangu(Baba)
Ulijua yote nikiyapitia
Mkono wako ulikua umenishikilia
Nisianguke
Wewe wewe kimbilio langu
Hakuna mwingine(hakuna)
Ni wewe pekee yako(hakuna)
Mbele hata nyuma(mbele hata nyuma)
Ni wewe pekee
Hakuna mwingine (hakuna)
Ni wewe pekee yako (hakuna)
Mbele hata nyuma(mbele hata nyuma)
Ni wewe pekee(ni wewe pekee yako)
Ooohhh oooooh ooooh
Ooooh ooooh ooohh
ooooh oooh ooooh
ooooh
ooooh oooh oooh
oooooh ooooh ooooh
oooooh ooooh ooooh
ooooh
Hakuna mwingine(hakuna mwingine)
Ni wewe pekee yako(ni wewe pekee yako)
Mbele hata nyuma(ooooh)
Ni wewe pekee (ni wewe)
Hakuna mwingine
Ni wewe pekee yako (ni wewe pekee yako)
Mbele hata nyuma(Mungu wangu)
Ni wewe pekee(Yesu wangu)
Hakuna mwingine(Baba yangu)
Ni wewe pekee yako(hakuna hakuna )
Mbele hata nyuma(mwingine)
Ni wewe pekee (wewe pekee yako)
Hakuna mwingine (hakuna hakuna)
Ni wewe pekee yako
Mbele hata nyuma
Ni wewe pekee(ni wewe )
Hakuna mwingine (hakuna)
Ni wewe pekee yako(wewe pekee yako)
Mbele hata nyuma
Ni wewe pekee
Hakuna mwingine(hakuna hakuna)
Ni wewe pekee yako
Mbele hata nyuma
Ni wewe pekee yako(oooh baba yangu)
ooooh oooh ooooh
ooooh oooh oooh
ooooh oooh oooh
ooooh
ooooh oooh ooooh
oooooh ooooh ooooh
ooooh oooh oooh
ooooh