![Wimbo Wangu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/23/2559ef122cfa4bd399c879b433bfa18e.jpg)
Wimbo Wangu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Wimbo Wangu - Alice Kamande
...
Eeeehh
Ooooh ooooh
Wewe ndiwe wimbo wangu
Wewe ndiwe wimbo wangu
Wimbo wangu
Wimbo wangu
Nitaimba sifa zako tu
Sifa zako tu
Sifa zako tu
Sitaki kwenda mbali nawe
Bila wewe sitaweza pekee
Wewe unanifaa
Wewe ndiwe amani yangu
Kando yako sina mwingine
Taa ya njia yangu
Wewe ndiwe wimbo wangu
Wimbo wangu (yeahh)
Wimbo wangu
Nitaimba sifa zako tu(sifa zako)
Sifa zako tu(nitaimba)
Sifa zako tu
Sifa zako kinywani mwangu
Haziwezi kufika kikomo
Wewe unanifaa
Mwanzo wa wokovu wangu
Kila kitu napata kwako
Ewe Baba
Wewe ndiwe wimbo wangu
Wimbo wangu (wimbo wangu)
Wimbo wangu
Nitaimba sifa zako tu
Sifa zako tu(nitaimba)
Sifa zako tu
Nitakusujudu Yahweh
Patakatifuni mwako
Wewe unanifaa
Kimbilio na usalama
Wokovu na fahari yangu
Mwamba imara
Wewe ndiwe wimbo wangu
Wimbo wangu
Wimbo wangu
Nitaimba sifa zako tu
Sifa zako tu
Sifa zako tu(nitaimba)
eeeeh eeeh
I will sing for you
and only you
eeeh furaha yangu
mfariji wangu
tegemeo langu
oooohhh
eeeeeh kimbilio langu
Mfariji wangu
Msaidizi wangu oooohhh
Wewe ndiwe wimbo wangu
Wimbo wangu (wimbo wangu)
Wimbo wangu(wimbo wangu)
Nitaimba sifa zako tu
Sifa zako tu(sifa zako)
Sifa zako tu