- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Waongo - Rayvanny
...
eti nilomwita my queen yaan nado leo kashika njia aloyafanya ni simanzi nishachoka kulia
nipe panadol changanya klorokwin madawa yote jazia sumu ya panya wapi kitanzi nishachoka dunia
aliniahidi nitakua wake kufa na kuzikana kigoma kwa bibi (native language) na tukapelekana
tena akanifariji nje nafanya mipango twende kuoana
kumbe muongo alinidanganya akanifany cartoon
kumbe muongo hadi safari za guest akasema saloon
kumbe muongo hawakutosheka chumbani wakafanya bafuni
kumbe muongo aloyafanya leo kwangu huzuni najuta
waongo hao
yani waongo hao waongo hao waongo hao
see lyrics >>Similar Songs
More from Rayvanny
Listen to Rayvanny Waongo MP3 song. Waongo song from album Sound from Africa is released in 2021. The duration of song is 00:03:09. The song is sung by Rayvanny.
Related Tags: Waongo, Waongo song, Waongo MP3 song, Waongo MP3, download Waongo song, Waongo song, Sound from Africa Waongo song, Waongo song by Rayvanny, Waongo song download, download Waongo MP3 song
Comments (14)
New Comments(14)
Aminah Bayanna
joshua muimitymd9
from kenya ngoma iko wow
careen3whdm
dah ss ao
Kimwagaszt35
Linex Good song
Muyabi Majura
Waongo hao
Bavuna John
ni bomba
Eutycas Mucira
kali sana
machoojr
talented writters
Fdanie wira6
love game
Oredy Mwamwindi
kweliiiii
Rodgerro Oumez official
one of my best Rayvanny song's
Eysher Q'dout
waongo hao[0x1f625]
waongo hao