![Uwoga](https://source.boomplaymusic.com/group1/M04/A4/9D/rBEehlyccIaAB4MJAADGE7zJC34585.jpg)
Uwoga Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Uwoga - Jolie (Tz)
...
Huhuhuhu aaah tamu Kama asali kuipata fanya bidii utadunda dunda mi kwako tayar huitaji hata bidii huitaji vumba mi Nahitaji uhodari Wewee mwanaume kujituma nishikie zangu akili wewee moyo wangu tua huhuu wa kucheza kucheza nae sio mm ntaumia wa kuruka kuruka nae sio Mimi ntaumia *2 usijechange pigo,uogaa mwenzako Nakupenda sana usije ukachange kidogo ghafla ukawa mbogo ntaogopa sana*2 uogaaaa ile michezo ya karata mbili ukalamba ukafunulia macho ya watu chunga cheki ulivyotaradadi watoto wazuri wee watatakaiteka nyumba Nakupenda sana sio Siri weee ukiniacha utanivuruga weeewee nabeba lawama kweli wee sitojali hata mmoja huhuu