![Bado Mapema](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/78/BB/rBEeNFsrpo2AC-IQAADldEVll_c367.jpg)
Bado Mapema Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Bado Mapema - Jolie (Tz)
...
ooooh yeah ooooh yeah yeah×4 makosa yangu nimekubali na nimekuomba msamah ila mwenzangu wala ujali na umia mm tena lini utaguswa na machozi yangu unifutee lini tufurahai Mara uninunie ukilewa pombe chupa unitupie ooohhh mapenzi uniibie najifanya sioni wacha nisiskie ooohhh mbona bado mapema (pema pema)ooooh ooh oh kuyaona haya haya haya umeshidwa kuyaficha makucha yako mbona uishi na visa na mpenzi wako ooooh ohoh aaah uye yeyeyeee×2 mawazo yako yako mbali Leo sivyo vilivyo nikiwaza na kufikili uko sipo nilipo nasitoacha kukupa love japo ujaliii nakupa moyo nakusubiri lini utagiswa na machozi yangu unifuteee lini tufuraahiii Mara uninunie ukilewa pombe chupa unitupieee mapenzi uniibie najifanya sioni wacha nisiskie oooohoooh mbona bado mapema (pema pema)kuyaona hayaaaaaah oohh mbona uishi na visa ooh mbn umeficha kucha oooh wooowhooohoo ayaao ayayoo oooh ooohwooowowoh ooh (pema pema) mapema mapema mapeeemaa (pema pema aya aya)