![Haimaanishi](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/7A/3B/rBEeMVsro2eAOgGFAACroYHPPSk422.jpg)
Haimaanishi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Haimaanishi - Jolie (Tz)
...
HAIMAANISHI BY JOLIE.
Verse 1
Uuh uuh uuuuh uuh
(The ringtone on this beat)
Hautaki hata niulize ulikuwa wapii
Jibu lako kubwa ni ubiize na washkaji iiih
Mimi nilitoka machozi mwanzoni
Na ulishazoea
Mikiiki na vitimbi ni mapenzi
Najaribu kuforce furaha nisikikeere
Labda ukimya wangu unakupa raha sielewi
HOOK.
Nimeamua niache makelele
Mpaka siku ukae unielewe
Sikulizi ili nikukere na kujali
Nimeamua niache makelele
Mpaka siku ukae unielewe
Kwamba mimi ndo yule ndo yuule
CHORUS.
(HAIMAANISHI)
Mi sihangaiki nawe kwenye akili yangu
(HAIMAANISHI)
Upendo wako uwe fimbo au pingu kwangu (SIO RAHISI)
Kusahau sura yako kwenye mboni yangu
(SIO RAHISI).
Huyo alitoa talaka kwa vidole vyangu uuh uuh uuh ooh yeah yeah yeah yeah yeeaah
VERSE 2.
Japo sijui kusoma ila picha nimeiona nimeiona
Unampango wa kando nafsi yangu unaichoma aah aah
Nikikuliza maswali unakorooma
Kumbatia uongo ila ukweli utakuponya aah aah aaaah
HOOK.
Nimeamua niache makelele
Mpaka siku ukae unielewe
Sikulizi ili nikukere na kujali
Nimeamua niache makelele
Mpaka siku ukae unielewe
Kwamba mimi ndo yule ndo yuule
CHORUS.
(HAIMAANISHI)
Mi sihangaiki nawe kwenye akili yangu
(HAIMAANISHI)
Upendo wako uwe fimbo au pingu kwangu (SIO RAHISI)
Kusahau sura yako kwenye mboni yangu
(SIO RAHISI)
Huyo alitoa talaka kwa vidole vyangu
Uuh uuh uuh uuuh ooh yeah yeah yeah yeeaah
Wacha niuchunge ulimi iih
Usije ukaponza kichwa aah aaa aaah
Bora niuchunge ulimi wangu uuh uuh uuuh
Usije ukaponza kichwa aah eeeh
Kichwa aah kichwa
(THE RINGTONE ON THIS BEAT)
Synced by lil broe.