![Shika Simu](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/7A/3B/rBEeMVsrpJ-AXgAAAABdV5YVcCk761.jpg)
Shika Simu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Shika Simu - Jolie (Tz)
...
hali nilonayo ni siri yangu
hakuna anaefahamu siri yangu
if you feel the same my darling
nakuomba shika simu
nihurumie ,say something
unitoe wazimu
natamani hata ningejua u hali gani
umeondoka kwangu umechukia ,unakisirani
natamani hata ungejua nna hali gani
umeondoka kwangu umechukia ,una kisirani
Mbali ilikoo! kaa ukijua unanikatili roho!!
Ndo sina uwezo wa kukuambia,mana haushiki simu
Mbona hupokei simu weeh
Baby shika Simu
(simu simu sim..!)shika simu