![Ngeli](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/26/48b478316f3641e49bb10c393532baed.jpg)
Ngeli Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Ngeli - Eque
...
Rrrr
Si ni yule dame ana IQ
Yeah EQ
Niko ready daily
Kuroga kutesa kwa stage (yeah)
I got them bars kwa kichwa na medi
Rasta woman nafuga dredi
Sema hiyo one na style femi
Am a mum kwa kifua nina jegi
Hawa marapper nawavuta kama fegi
Nina mistari nimeroll kama pedi
Kuja nikufunze hii ngeli(ngeli )
Kabla uhame na bado hujaketi
Ulipuke na vitu nimeseti style ya imenti
Shit am medic and this a dedix
Vitu mi hufanya zote huwa deadly
Kucheza na mimi unachoma tu beti prr
Mi ni thima unacheza waya
Kwa flow nifanya wanagwaya
Chorus
Nimekuja hii ni kuitika
Chukua stopwatch hesabu dakika
EQue ndo ngeli inawika
Am audible mi naskika
Nimekuja hii ni kuitika
Chukua stopwatch hesabu dakika
EQue ndo ngeli inawika
Am audible mi naskika
Napenda kuwa single am a mono, mono
Ndio nishike hizi lines na mkono, ono
Bars zangu zimebeba kama momo, momo
Coz napenda chapo na mandondo, dondo
Dame Omollo nimetoka bondo, bondo
Nasipendi kushikwashikwa nyonyo
Vile nakaza ni kama mkojo
Na hawa maboyz wanadai tu joto
Wapige magoti juu ya kokoto
Beef natafuna kama jojo
Lines ziko moto mimi ni oven
Am a femcee mi si wa choir
Vitu zangu konki utaretire
Na mi sina date ya kuexpire
Hawa mafisi mi huwa inspire
Kwa beat am the beast and the fire
Usikam na mistari umehire
Ntakutoanisha uone tu haya
Am more this niko higher
Kama huna bars nivutie waya
Wewe ni rapper na uko na wana
Karike ni vipi unahanya
Cheki hii ngeli inakuja na ubaya
Sana bana huwezi bishana usiku mchana
Msichana nawacha ka jaba
Lyrically wee mfupa bila nyama
Ati lines ulikopa kwa tala
Ukiulizwa najua utakana
Na ulikam kutushow uko sawa
Hapa ni highway chunga utanyangwa
Kaa rada hapa ni kubaya.
CHORUS
Nimekuja hii ni kuitika
Chukua stopwatch hesabu dakika
EQue ndo ngeli inawika
Am audible mi naskika
Nimekuja hii ni kuitika
Chukua stopwatch hesabu dakika
EQue ndo ngeli inawika
Am audible mi naskika