![Kaa Mbali](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/26/48b478316f3641e49bb10c393532baed.jpg)
Kaa Mbali Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Kaa Mbali - Eque
...
KAA MBALI
Si ni ule dame ana IQ (yeah) EQue
rrrrrr
Chorus
Wewe ni hater(hater) kaa mbali
Wewe ni fake kaa mbali
Wewe ni fisi(fisi)kaa mbali
Mimi sitaki kaa mbali
Kaa mbali,kaa mbali,kaa mbali na mimi
Kaa mbali,kaa mbali,kaa mbali na mimi
Wewe ni hater(hater) kaa mbali
Wewe ni fake kaa mbali
Wewe ni fisi(fisi)kaa mbali
Mimi sitaki kaa mbali
Kaa mbali,kaa mbali,kaa mbali na mimi
Kaa mbali,kaa mbali,kaa mbali na mimi
Mimi ni moto na uwezi niota
Acid vile nakuchoma
Mambleina mi huwatoka
Tukipatana wao hupiga corner
Flow yangu sick ill in a comma
Nikiwashika utadhani mi homa
Ah zii hii ni corona
Invisible huwezi niona huwezi toroka
Nilitoka China nililand na toyota
Na mi si fake usidhani ninachocha
One take kama beat ni noma
Sai nko flight mode siwezi bonga
Vile nimedhoka nadai kuomoka
Baby steps na ni mbali nimetoka
Sikia vile vibe sasa ni noma
Kaa mbali hii vumbi inagoroka
Walai nimebonda songa mbali
Pressure imefanya mimi silali
Kama wee rapper sikia sijali
Coz mimi ni big dog umbwa kali
Kuna mtu alisema sitoshi
Huwezani mimi si softy
I kill a beat waseme we sorry
Nimejipin nimekwama niko ndani
Chorus
Wewe ni hater(hater) kaa mbali
Wewe ni fake kaa mbali
Wewe ni fisi(fisi)kaa mbali
Mimi sitaki kaa mbali
Kaa mbali,kaa mbali,kaa mbali na mimi
Kaa mbali,kaa mbali,kaa mbali na mimi
Wewe ni hater(hater) kaa mbali
Wewe ni fake kaa mbali
Wewe ni fisi(fisi)kaa mbali
Mimi sitaki kaa mbali
Kaa mbali,kaa mbali,kaa mbali na mimi
Kaa mbali,kaa mbali,kaa mbali na mimi
Dame mauru natembea na rungu
Ndani ya kibenje nimesunda mapingu
Kama Judas wanataka kunimunju
Nawafukuza wakanurse mauchungu
Mimi na wewe sio mandugu
Ukinicheki sepa hepa ukipiga nduru
Mtaa yangu wanajua mi kurutu
Coz nawadiscipline kama sungusungu
Nabonga mob mdomo yangu si broken
Ukidai more naadisia kama token
Mistari zangu zimeshona swollen
Nadeliver kwanza 12 kama dozen
EQ kabaya yes am rotten
Ka weee bestie yes you chosen
Ukiringa kwangu you fallen
Vile nawachoma I own the oven
Mimi ni Wairimu kwa story ya Cohen
Kinyume cha hell ni heaven
Kuna vitu mtadai ni stolen
But kwangu your lingo foreign
Wee ni fisi buda cum ndani ya CD
Siezi beba mtoi wako mimi
Nilikustalk na whatsapp ya GB
Na chuma yako ni ya inch mbili
Chorus
Wewe ni hater(hater) kaa mbali
Wewe ni fake kaa mbali
Wewe ni fisi(fisi)kaa mbali
Mimi sitaki kaa mbali
Kaa mbali,kaa mbali,kaa mbali na mimi
Kaa mbali,kaa mbali,kaa mbali na mimi
Wewe ni hater(hater) kaa mbali
Wewe ni fake kaa mbali
Wewe ni fisi(fisi)kaa mbali
Mimi sitaki kaa mbali
Kaa mbali,kaa mbali,kaa mbali na mimi
Kaa mbali,kaa mbali,kaa mbali na mimi