![Bazenga](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/26/48b478316f3641e49bb10c393532baed.jpg)
Bazenga Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Bazenga - E.Que
...
Rrrrrr
E.Que Kabaya
Bazenga nikifika stand up
Big dog mimi niliman up
Verse 1
Bazenga mama yao mi ni bazuu
Maziwa fresh wakinyonya hizi chuchu
Nyi ni watoto mi nalinda game na rungu
Juu mko naso na mi chuo kikuu
Niligraduate kama EQ mkuu
Niko na masters ya kupenda dudu
Pasha Rashid mimi ndiye lulu
Kila wikendi ako box kwa saduku
Mi ndo master nyi wengine ni disciple
Ukinitoka nakutupa si recycle
Juu wee ni fake mi sipendi vitu imbo
Kama si wera ukitext nakuignore
911 ambia babu alete wino
Beba mingi leo ni Elnino
Mrenga ni whiskey na kizibo
Juu nilidrop chuma sasa nataka fimbo
CHORUS
Bazenga nikifika stand up
Big dog mimi niliman up
Bazenga nikifika stand up
Big dog mimi niliman up
Bazenga mi ndo bazenga
Bazenga mi ndo bazenga
Bazenga nikifika stand up
Big dog mimi niliman up
Verse 2
Kudeal na mimi inahitaji kujiamini
Kunilearn kwanza nifanye niwe dini
Coz mi ni pastor ninakuja na injili
Nadrop single huwa sipendi wingi
Ka wee ni hater kulwa na chuki maini
Ka wee mtiaji pigwa kichwa mpini
Kibazenga nawasha kama pilipili
Na jina yangu ndo maji baridi
Nina mistari buda kuja kwangu mining
Speed yangu noma you can't run me
Vile napita juu beat produce me
Nina brain biggy you can't wash me
Vile natema mdomo ni yangu ndo tap
Kama Picasso nishachora nina map
Place naenda inadai uber chapchap
Life ni one take hakuna recap
CHORUS
Bazenga nikifika stand up
Big dog mimi niliman up
Bazenga nikifika stand up
Big dog mimi niliman up
Bazenga mi ndo bazenga
Bazenga mi ndo bazenga
Bazenga nikifika stand up
Big dog mimi niliman up