![Yes Dada (Yes Bana Freestyle)](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/06/2c4bc6f84cd74614b2bc2970c92936a0.png)
Yes Dada (Yes Bana Freestyle) Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Yes Dada (Yes Bana Freestyle) - E.Que
...
Si ni ule dame ana IQ
EQ
*
Leo lazimaa wasema yes bana
Kuna topic nimekuja kuimada
Dame anaIQ washasema yes dada
Mi salonist nimekuja na kichana
Lyrical genius kwa madanda
Niko na bars nimetoa kwa mganga
Utazama chini chini kwa mchanga
Sababu king ashasema ni matanga
Wee ni nani kuja hapa kubishana
Hiyo kamote ikikuja naimanga
Nimejipin na nimemeza kukumanga
Pata potea mi ni giza kwa mchana
Rada chafu kwenye beat mi nahanya
Tomato sauce nimeiva kama nyanya
Ukisema hunijui unajifanya
Hii si kiki sipendi kujigamba
Antisocial huwa sipendi drama
Kucha fake unataka kunigwara
Mi sungura nakuhepa na ujanja
Wivu ungonjwa we huwezi pona
Ulinitema ndo unanurse mauchungu
Shut the fvck up sijakuja kukutibu
Bado rhyme inahandas ya njugu
Nimeshtunya kwenye flow sijishuku
Mimi hatari danger kama akuku
Nina joto nyi mayai mimi kuku
Huwa sifly ninapenda kushaku
Kama soldier nina marungu
Na mi ni bully nimekuja na pingu
Ndani ya bedroom nifikishe kwa mawingu
Nachachisha kama sailors na manduru
...
Auuuu
Pull up
Pull up
Leta funguo niwafungue akili
Mimi jangili nawabeba hadi mwili
Na mi si pastor sijakuja kuhubiri
Kucheka cheka kama nyani wee tumbiri
Namemorize verse kila jumapili
Kama ni beef nadeliver kwa mlango
Huku leo kichinjio ni kwako
Sura ya kazi sitoki bila shingo
Nimejihami na kisu hapo kando
Ulinilamba kumbe kikulacho
Am a cannibal kwa beat am an animal
Nikichange flow juwa signal
Number zenu zinakuja after decimal
Rudi kwa studio ukafanye ingine
Juu huku walai huwezi
Rudi kanisa ukafanye injili
Hapa sitaki testimony ya wezi
Mistari umekosa changisha kwa chama
Ama Sunday ungonje ka sadaka
Fuata mi nyuki utakula risasi
Hapa mtakoma hamna bahati
Vitu nafanya utadhani Gaddafi
Kuomoka naitaka na ulafi
Najituma hata kama sina fare
Niko njiani better be aware
Alafu later nifungue daycare
Fake rappers I got you sorted
Mimi mistari napeana na mortgage
Chunga fuse vitu zangu high voltage
High voltage
.
.
.
Yes Bana
.
Yes dada
Yes dada.