![Sawa Sawa](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/08/c045e093728e4d928c91bbfd08beaa14.jpg)
Sawa Sawa Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Sawa Sawa - Karwirwa Laura
...
LAURA KARWIRWA- SAWASAWA
....
Hapa nilipofika, sijui nimefika aje
vita vilinipiga, kwani kuliendaje?
lakini yamepita, yamekwisha
never will I cry again
nina aminia yale mema aliye yasema
One time for my God (ooh yeah)
hajawai badilika
Two time for imani (imani)..
imenishikilia
Three time for hili neno neno (ooh yeah)
limeniangazia
Analo lengo lengo (oooh oo ooh)
atanitimizia aah
Sawa sawa yeah
sawa sawa
it's gonna get better (it's gonna get better)
it's gonna get better better (it's gonna get better)
better better (better)
better better (better)
Hata usiku uwe na giza aje
asubuhi acha
asubuhi acha
ooh my heart don't forget
his faithfulness endures
moyo wangu sisahau wema wake unadumu milele
One time for my God (ooh yeah)
hajawai badilika
Two time for imani (imani)..
imenishikilia
Three time for hili neno neno (ooh yeah)
limeniangazia
Analo lengo lengo (eeeh ee eeh)
atanitimizia aah
Sawa sawa yeah
sawa sawa
it's gonna get better (it's gonna get better)
it's gonna get better better (it's gonna get better)
better better (better)
better better (better)
Ooh my heart don't forget
his faithfulness endures
moyo wangu sisahau wema wake unadumu
And my heart won't forget
his faithfulness endures nami sitasahau wema wake unadumu milele eehh
Sawasawa
sawasawa
it's gonna get better ( it's gonna get better)
itakuwa sawa, itakuwa sawa( it's gonna get better)
better better (better)
better better (better)
One time for my God, hajawai badilika
Two time for imani, imenishikilia
Analo neno (his word for you is true) limeniangazia
Na pia lengo (ooh ooh mmmm)