![Natamani Nikuone](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/1D/03/rBEeqFt-vV6AWLtEAACxOLGRb10944.jpg)
Natamani Nikuone Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Natamani Nikuone - Karwirwa Laura
...
Mengi nimeshasikia, uliyoyatenda
Mengi hata nami pia, naweza shuhudia
Katika siku zangu za giza
Wewe umenituliza
Nimepenya kwenye giza,
Umenimulikia njia.
Nikusujudie
Nikuinamie
Niseme nawe, eeh
Niushike mkono wako ewe
Na nitembee nawe..
Natamani nikuone..
Ndio tamaa ya moyo wangu
Na nafsi yangu X2
Umekuwa mwema..
Umekuwa mwema..
Umekuwa mwema..
Umekuwa mwema.. kwangu
Nitakuwa nimetayarisha Sadaka nikupe,
Na sauti nimenyorosha na malaika niimbe
Sadaka za sifa
Naomba pokea.
Sauti napaza, napaza
Naomba sikia, aah
Nikusujudie
Nikuinamie
Niseme nawe
Niushike mkono wako ewe
Oh nitembee nawe
Natamani nikuone,
Ndio tamaa ya moyo wangu
Na nafsi yangu X2
Umekuwa mwema..
Umekuwa mwema..
Umekuwa mwema..
Umekuwa mwema..
Natambua mimi dhaifu
Kama Musa ninavua viatu vyangu
Nikaribie utakatifu wako
Nimeoshwa na hiyo damu
Umekuwa mwema..
Umekuwa mwema..
Umekuwa mwema..
Umekuwa mwema.. babaa
Umekuwa mwema
Umekuwa mwema
umekuwa mwema
Umekuwa mwema