![Ni Neema Yako](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/1D/03/rBEeqFt-vV6AWLtEAACxOLGRb10944.jpg)
Ni Neema Yako Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Ni Neema Yako - Karwirwa Laura
...
Mambo Mimi nimeyaona na macho Haya yangu
mambo Mimi nimesikia na masikio Haya yangu
mambo Mimi nimeambiwa na rafiki zangu
mambo Mimi nimehisi moyoni mwangu
yangenifanya Mimi kupotea, yangenifanya Mimi kushushika
yangenifanya Mi nirudi nyuma na kusahau agano lako