Everyday ft. Chaser. Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Everyday ft. Chaser. - Sam Mapesa
...
Artist :Sam Mapesa Ft Chaser
Song : Everyday Lyrics
Prod : Duppy Beatz
Studio : Uprise Music
Year :2020
(Verse I)
Majukumu yangu namwachia MUNGU,
Cha msingi kwangu ni wewe kuwa wangu,
Story nyingi nishapitia mengi nikagundua,
Vitabu nikafunua jambo nikatambua,
Wewe chaguo langu mama wa watoto wangu,
Kipenzi cha wazazi wangu urembo wa nyumba yangu,
Uongo wako kwangu ndiyo asali yangu,
Huu mrembo kama vodka naapa nishafika,
Mng'aro wa malaika seke seke ukinishika,
Puuuuu!
Moyo unaruka ghafla ntaadhirika,
Nahisi utaniacha walimwengu watanicheka,
Hii ni ndoto yangu uvae Pete yangu,
Milele uwe wangu nikuite mke wangu,
Uniite mume wangu sitopenda majungu,
Waelewe walimwengu we ndio EVA wangu,
Mi ADAM wako tupeane bila choyo.
Chorus
We ulimboooooo
(Nimenasa siwezi kutoka)
Kwangu bingoooooo
(Nakupenda mpaka najiogopa)
We ulimboooooo
(Nimenasa siwezi kutoka)
Kwangu bingoooooo
(Nakupenda mpaka najiogopa)
Everyday Everyday (Everyday ma)
Everyday ntakuwa nawe Everyday (Everyday ma)
Everyday Everyday (Everyday ma)
Everyday niongezee utundu Everyday
(Verse II)
We ndo daktari unayenipatia,
Unanipa raha tamu zaidi za dunia,
Kwingine nilikopita nilikosa mautamu,
Mjuzi wa mambo kuwa nawe siishi hamu,
Nipe unachopenda hata mgongo nitapanda,
Kuishi nawe mpaka ipigwe parapanda,
Umenishika Ka mateka mi kamanda,
Wanimalizaga sauti yako ka kinanda,
Tuwapige bao hao wazushi hao hao,
Wanaotaka kuharibu penzi letu hao,
Nitapigana kulilinda penzi letu,
Na ntaongeza mapenzi maradufu zaidi ya jana,
Mtoto yuko simple tu,
Amenifanya nikiwa naye kwangu raha tu,
Daily sikukuu hapendi makuu,
Sina lingine zaidi ya kusema I love you I love you
Chorus
We ulimboooooo
(Nimenasa siwezi kutoka)
Kwangu bingoooooo
(Nakupenda mpaka najiogopa)
We ulimboooooo
(Nimenasa siwezi kutoka)
Kwangu bingoooooo
(Nakupenda mpaka najiogopa)
Everyday Everyday (Everyday ma)
Everyday ntakuwa nawe Everyday (Everyday ma)
Everyday Everyday (Everyday ma)
Everyday niongezee utundu Everyday
Everyday Everyday (Everyday ma)
Everyday ntakuwa nawe Everyday (Everyday ma)
Everyday Everyday (Everyday ma)
Everyday niongezee utundu Everyday