Wazi Freestyle Vol 1 Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Wazi Freestyle Vol 1 🅴 - Sam Mapesa
...
Okay
Ona nananaaaaaa na
Ah yeah
Comon let's go
(Verse I) Sam Mapesa
Nakufananisha na kinda asiyejua hata kuwinda
Kitaa nachotokea machalii tumepinda
Kwenye rap mi ni mjuzi napiga style za kininja
Kichwa kibovu kama Arnold Schwarzenegger
Nishasemaga kama vipi nawe IGA
Styles zimejaa naweza flow zaidi ya Giga
So brother man usinitishie mitikasi
Nikiamua kufanya mi naflow mpaka basi
Kichwani upara Moyo hisia ka ras
Rymes nazoshusha kama namenya nanasi
Sikusoma PCM wala PCB
Ila siku hizi naonekana ka na digirii
Mchizi mtundu ila sipendi mavurugu
Sikati Ka Feni mi mkali zaidi ya mundu
Siwezi game labda sijui ndo sababu
Mkanifuta kwa verse Leo nakuchana Nyandu (Tozi)
R.I.P. Daddy Ngwair Zizi
Complex Vivi Emma Giz
Mtoto wa Dandu Father Nelly
Langa Big Makaveli
Siku hizi sio POMBE utawala ni SULUHU
Hatusemi tena buku twazitaja vizuri
Upate ten ufanye Kazi shughuli
Hata u graduate Kupata Kazi sifuri
Tanzania ya viwanda wamejaa wajanja
Yaani Hata kikongwe watampiga changa
Change coter wasomi mtaani tunasota
Na vyetu tupo street tunatanga tu na njia (njia njia)
Tumepanga nyanya viazi na bamia
Karoti na mazaga zaga ya kuzugia (zugia zugia)
Kama huna refa basi
Life lako litaishia pigwa mikakasi
WAZI hawaogopi paparazzi
Siku hizi wananyonya gongana mbele ya wazazi
Tasnia imekufa siku hizi hakuna bongo movie
Kila copy inayotoka sokoni siku hizi haiuziiii
Wamebaki tu machizi
Walafi wasiokuwa hata na ujuzi
Wazushi wanafiki wapenda kiki
Wapenda kuishi maisha kama yale ya kina Gigii
Life ya bongo kweli Kazi
Mafanikio kidogo watazusha we jambazi
Unauza drugs umetoa fungu mzazi
Mradi mtaani tu uwekwe simulizi
Natafuta kwa jashoooo
Lakini ndugu zangu bado kerooo
Wanazusha ya uongo
Wanatamani maisha nife sero oooo
Wanachotaka nipate tabu
Raha kidogo tu chuki bila sababu
Najua Hili ntalikabili
Kwani najua jeuri dawa yake ni kiburi
Artist Sam Mapesa
Song WAZI Freestyle Lyrics
Album Champion EP
Prod By Dupy Beatz
Studio Uprise Music
Label Mapesa de Brand
Released 15/11/2022