Nyota ft. Promise Nyota Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2025
Lyrics
(INTRO)
Uprise Music baby
(VERSE I)
Yeah
Slow, slow
Nyota nipe nafasi, nyota nipe chance
Melody kama Smith, mistari ka' Jadakiss
Usindelete nifanye niwe msafi
Mcheshi mtanashati peace kwa nyota classic
Harakati toka mtoto leo midevu bado msoto
Nyota nipe pumziko nitoe hapa nilipo
Nami nahitaji pumziko napenda kuwa star
Please waka kama taa usififie ka mshumaa
Mulika ka nyota ya jaha nautamani upresident
Moyo una dunda kila saa unalia pah
Natamani ndinga, nyumba niishi ki super star
Ila nyota unanitenga mpaka moyo unasinyaa
(CHORUS)
Iwe kusini magharibi na mashariki
Nyota yangu ing'ae
Iwe topic kiboko kwenye music
Kila mtu ashangae, eh
Nyota, nyota, oh-oh
Nyota, nyota, oh-oh
Nyota, nyota, oh-oh
Oh, nataka ing'ae nyota
Nyota, nyota, oh-oh
Nyota, nyota, oh-oh
Nyota, nyota, oh-oh
Oh, nataka ing'ae nyota
(VERSE II)
Ah, nyota usinipe msala au bifu na msela
Aliyeamka toka kulala akaandika ngoma kafara
Akidhani atapata mshahara mpaka Leo anatinga ndala
Nyota sio masihara Tandale copy ya Mbagala
Nyota ng'aa sasa kabla ya majukumu
Usingoje nikachoka nikazeeka ka kidumu
Nasikiaga baadhi wanapiga nyanga
Ili wa boost kimuziki Tanzania, Kenya, Uganda
Hivi inawezekana kuhit kwa nguvu za ndumba?
No, mi mkulima peni nyenzo pembejeo verse ulimi
(PRE-CHORUS)
Please waka kama taa usififie ka mshumaa
Mulika ka nyota ya jaha nautamani uprezdar
Moyo una dunda kila saa unalia pah
Natamani ndinga nyumba niishi ki super star
Ila nyota unanitenga mpaka moyo unasinyaa
(CHORUS)
Iwe kusini magharibi na mashariki
Nyota yangu ing'aee
Iwe topic kiboko kwenye music
Kila mtu ashangae, eh
Nyota, nyota, oh-oh
Nyota, nyota, oh-oh
Nyota, nyota, oh-oh
Oh, nataka ing'ae nyota
Nyota, nyota, oh-oh
Nyota, nyota, oh-oh
Nyota, nyota, oh-oh
Oh, nataka ing'ae nyota
(BRIDGE)
Fanya kila kitu kiwe byee iwe zali zalinaa
Nyota naomba ung'ae mambo yawe pinaa
Nimiliki magari majumba niwe na jinaa
Nyota naomba ung'ae mambo yawe pina, pinaa
(CHORUS)
Iwe kusini magharibi na mashariki
Nyota yangu ing'aee
Iwe topic kiboko kwenye music
Kila mtu ashangaee, eh
Nyota, nyota, oh-oh
Nyota, nyota, oh-oh
Nyota, nyota, oh-oh
Oh, nataka ing'ae nyota
Nyota, nyota, oh-oh
Nyota, nyota, oh-oh
Nyota, nyota, oh-oh
Oh, nataka ing'ae nyota