Baby Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Baby - Sam Mapesa
...
Ah ha ha Uprise Music Baby
Uuuuuuuuuuree re re
Jeah jeah jeah jeah jeah
Ahhhhhhhhhhhh
Hakuna kingine nachokipenda zaidi ni wewe jeah
Baby baby unanifanya nipagawe
Mtoto mzuri mjuzi wa yale mambo
Tena fundi fundi wakunyonya langu tango
Jeah jeah
Kitandani patashika nguo kuchanika
Mtoto ulivyoumbika minaweweseka
Nisipokuona day moja minapata tabu
Moyo unaruka brain napata pata magadhabu
Naona kama uko unaibiwa wangu tabibu mwenye ujuzi wa maradhi yangu jinsi ya kunitibu
Hey honey you my number one
I swear hakuna tena mwingine zaidi yako maishani
Mtoto umefunzwa unyagoni
Deko lako tu mimi hoi taabani
Zaidi pale unapofunga macho
Mwili unalegeza kiuno unazungusha kama vile umefungwa mota mota mota mota mota