Hapo ft. Marioo. Lyrics
- Genre:Amapiano
- Year of Release:2020
Lyrics
Hapo ft. Marioo. - Rj The Dj
...
mmmh mmmh
walahi
haki ya mungu utanitapisha nyongo
mi mwenzio masebene sijazoea
walahi tutatoana vyongo kwako mi mwenzao
ndio kete ya mwisho pata potea
nisharanda randaga mie kutafuta kipoozeo
maana machungu yanazidigi tu hayawi matamu
nishaumizwa umizwaga mie almanusura initoke roho
chini upweke manyanyaso juu mhh
angalau kwako napata nafuu aee aea
nanimelidhia kuliko kusuffer kwenyewe
hapo
usiongeze ndimu usipunguze chumvi ushanichanganya
hapo
umenishika nishikilie nisije nkaponyoko
hapo
uzikwe na mieee eeee mhh
hapo
aah ya ya ya mmh
ukifanya unavyofanyaga kama niko peponi
mwenzio
yaani naona raha narudi utotoni
mwenzio
ladha yake pizza kwa bagga brake usogoni yeee
hata wiki tukikeshaga nabaki usongoni
mwenzio
kwa penzi lako nimekuwa teja nipeleke soba ya
hatua mbaya
maana Kila nkikuona nawaza kutinga tinga
angalau kwako napata nafuu
aee aeea
nanimelidhia kuliko kusuffer kwenyewe
hapo
usiongeze ndimu usipunguze chumvi ushanichanganya
hapo
umenishika nishikilie nisije nkaponyoko
hapo
uzikwe na mieee eeee mhh
hapo
aah ya ya ya mmh
hapo
hapo
hapo
hapo