Sina ft. Yammy Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Sina ft. Yammy - Rj The Dj
...
*****************************************
RRJ THE DJ ALL DAY BABY
Aaaam .... this goes out to all lovers and Friends ,
Friends and Lovers,
and, aaaam...
make sure you dedicate this song to the one you love Tafadhali,
you hear me already
...................................................................
Tena nakupa khabari,
ipulike kwa makini,
Mahaba hayana siri
Ndio nami nabaini,
Nimekupiga muhuuri
Apa mwangu kifuaani,
Basi baby don't worry
I love you sweetie honey,
We ndo udi la waridi
(aaaaaaaa)
Wangu lulu marijani,
Mola kanipa zawadi
(aaaaaaaaa)
Nzuri ilo thamani,
Mimi kwako nishafika
(aaaaaaaaa)
Kwingine sikutamani,
Wanipa rahaa
Mwingine simtamani,
Wangu we ni hayuni
Mapenzi yako jamani,
Wanipumbaza akili
Mwingine simtamani,
Tupendane kwa yakini Niwe wako wangu mimi,
Tushakula na amini
Mi nawe mpaka peponi
(aaaa aaaa aaaaa)
Mwingine sinaa
(aaaaaaaaaa)
Mwingine sina
(aaaaaa aaaaaa)
Sina mwingiine.
.............. ............ .......... ........ ........ .......... ........
Nimetulizana baby
Mimi ni waako daiima,
Kwako nishafika honey
Acha puupa paparaa,
Unidekeze tucheze chezeee........
Umeniteeekaaa,
Wangu we ni hayuni
Mapenzi yako jamani,
Wanipumbaza akiili
Mwingine simtamani,
Tupendane kwa yakini
Niwe wako wangu mimi,
Tushakula na amini
Mi nawe mpaka peponi.
(aaaa aaaa aaaaa)
Mwingine sinaa
(aaaaaaaaaa)
Mwingine sina
(aaaaaa aaaaaa)
Sina mwingiineee.
#Ayooo Trak
Ladies and gentlemen
They call me RJ.... . THE DJ
And aaam...... Thank you so much for listening
AA WooTE!
............ ............ .......... ........ ........ .......... ........
@official Zeddy