Sina Remix ft. Yammy & Brother Nassir Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Sina Remix ft. Yammy & Brother Nassir - Rj The Dj
...
Rj the dj all day baby
Nipende kama hurem na suleman
Husiende kwa mwingine ukatamani
Husinitende ukaja nidhurumu honey
Tamu tende unilishe hayuni
Ooh niliwaze moyo wangu uwe baridi
Nidekeze wala nyuma husirudi
Huba langu husinifanyie kusudi
Uwe wangu waumie mahasidi
Huba lie mfano kote ulimwenguni
Na wadhahabu wino waandike vitabuni
Rouhy nipende mno
Mwengine kwangu wanini
Nasema baby kwengine mimi nikafate nini
Aaaah aaaah kwengine sinaa aaah
Kwengine sina aaaaaa sina mwengine
Nimetulizana baby mimi ni wako daima
Kwako nishafika honey acha pupa papara
Unidekeze tucheze cheze
Umenitekaaa
Wangu honey hayuni
Mapenzi yako jamni
Wanipumbaza akilii
Mwengine simtamani
Tupendane kwa akini
Niwe wako wangu mimi
Tushakula na yamini
Mimi na we mpaka peponi
Aaah mwengine sina
aaaah Mwengine sina
aaaaah sina mwengine
Lady and gendrumen
They call me Rj the Dj
And am thanks so much for listening
Awoteeeeeee