Sitamani ft. Lody Music & Young Lunya Lyrics
- Genre:Amapiano
- Year of Release:2022
Lyrics
Sitamani ft. Lody Music & Young Lunya - Rj The Dj
...
RJ the DJ Ooh baby
(Lody music on this one)
She say she go love me oh lie baby
Yani kananimaliza akiongea
Kadata na kaa sawa mchumba kanifollow
Yani una adabu uyokai
Nahisi nikimcheat namuonea
She call me love ooh
Mchumba kanifollow.. ona
Na tabasabu lake linanimaliza
Moyo una rukaruka mtoto ananikimbiza
Ananimada usiku kwenye giza
Style za kufakufa zote tushazimaliza
My girl short hot and fire
Mtoto mtamu kananipa ndo balaa
Yoo my girl short hot and fire
(mmh)
Yani mambo yakuchepuka
Sitamani tena
Sitamani tena..
Kutoka na mashoga zako
Sitamani tena
Sitamani tena..
Unanipandisha mizuka
Sitamani tena(aaiee)
Sutamani tena..
Sasa nipe penzi lako
Sitamani tena(sitamani mwingine)
Sitamani tena..
Yeah
Pretty face, rose skin
rolling in dar baby kila row spin
Kwa vile vicheche nitafataga nini
Am all yours baby tamba na tena jiamini
wooh
Utanipa presha
Wewe ndo injini moyo yangu unavyouendesha
Penzi kuta linanoga unavyolinogesha
Treatments za kitoto mpaka kuogeshwa
Mahaba kama haya mimi sijawah kupata
Ndomana crazy in love nakaribia kudata
Offline umenizimia data
Mradi najilia nnavyotaka bila shaka swadakta
Maumivu ya moyo sitamanii tena
Nyuma nilipopita sipaangalii tena
Matapishi siyarudii tena
Mimi na wewe madem wote siamini tena
Yani mambo yakuchepuka
Sitamani tena
Sitamani tena..
Kutoka na mashoga zako
Sitamani tena
Sitamani tena..
Unanipandisha mizuka
Sitamani tena(aaiee)
Sutamani tena..
Sasa nipe penzi lako
Sitamani tena(sitamani mwingine)
Sitamani tena..
Yeah
lody music on this one
a