Siri Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Siri - Fena Gitu
...
sitaki mimi kufanya makosa
penzi hili linafanya nakosa
sikiri nikikiri siri,nitaathiri wawili
akili zitaoza,marafiki watazidi ongea
wanafiki wazidi kuombewa
usikiri, usikiri siri wacha ibaki hivi,kati wewe na mimi...
hivi ndivo naooona, vile naoona×2
usikiri siri, usikiri siri ukikiri siri usikiri siri
hivi ndivo naooona, vile naoona
(eeeih eeih)
keep it between me and u, (and u)
nobody have to know how we do(how we do)
how we foolin around or we cheating(we cheating)
wey u forbid dem fruits of sweet??
I wanna scream it out now
everytime u take it down low(down low)
on the low(down low)on the low(ooh)
usikiri siri ukikiri siri usikiri siri
hivi ndivo naonaa,usikiri,
hivi ndivo naooona(ona oooouh)
ona vile naio,ona vile naio
ona vile naio na ,ona vile naio
ona vile naio(vile naiooona)×13
lyrics gladly added by Lenny Ishmael (ishmaelbuzz)