Chai Moto Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Chai Moto - Fena Gitu
...
Ni moto, ni moto
oya come nikupashe, nikusafishe mikono, nikuandalie uhondo, skiza venye chai ya leo ni moto
sisi ni wale tunapendanga umbea, usiku hatulali bado kuongea, ni sisi majirani tutakuchomea ni sisi kanisani tutakuombea ...