
Hatujachelewa ft. Jux
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Hatujachelewa ft. Jux - Bensoul
...
Heri Uniumize na ukweli Baby uongoo! Utazamisha hii Meli Juu majirani hawalali Mpka bongo wanaongea hizi stori mmnh! Nimechoma but nafeel Niko sober Jioni mi hulalanga tu kisoldier Mawazo zako ndo zinanisonga Maama ! Eeinnhe! Marafiki wamegeuka manyoka Hii Shimo mi Na wewe tutatoka Tuko Na wakatiiii Pre chorus; Hatujachelewaa mapenzi iko Kwa hewa Tutaanza tenaaa Pale tulikosana Hatujachelewaa Penzi iko Kwa hewa Njoo turudi tenaaa pale tulipendana Chorus; (Hatujachelewaa chelewaa chelewaa kupendaanaa) *2 Jux Verse Kuna sababuu Tumetoka mbali me and you Haiwezekani Tuachane tu Ya Nini tujipe tabuu Alafuu Haina haja kupimana nguvu Kuanikana Mbele za watu ooh baby Shika simuuu Pre Chorus ; Hatujachelewaa mapenzi iko Kwa hewa Tutaanza tenaaa Pale tulikosana Hatujachelewaa Penzi iko Kwa hewa Njoo turudi tenaaa pale tulipendana Chorus: (Hatujachelewaa chelewaa chelewaa kupendaanaa) *2 (flute)
Similar Songs
More from Bensoul
Listen to Bensoul Hatujachelewa ft. Jux MP3 song. Hatujachelewa ft. Jux song from album The Lion of Sudah is released in 2023. The duration of song is 00:03:26. The song is sung by Bensoul.
Related Tags: Hatujachelewa ft. Jux, Hatujachelewa ft. Jux song, Hatujachelewa ft. Jux MP3 song, Hatujachelewa ft. Jux MP3, download Hatujachelewa ft. Jux song, Hatujachelewa ft. Jux song, The Lion of Sudah Hatujachelewa ft. Jux song, Hatujachelewa ft. Jux song by Bensoul, Hatujachelewa ft. Jux song download, download Hatujachelewa ft. Jux MP3 song
Comments (5)
New Comments(5)
Pascal Sulle g
soapsoap
jioni me hulalanga tu kisoldier
amboye
hapo sawa
Emmanuel Smilefgifo
This is all time timely
shaddyddd5r
Jux moto sana [0x1f630]
gudigudi