Sijaskia Vibaya ft. Njugush Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Sijaskia Vibaya ft. Njugush - Fena Gitu
...
Fena na na na
Ata sijaskia vibaya
Ata sijaskia Vibaya
No yoh yoh
Nimeshinda nikiomba khali collabo Miaka mingi ananiambia mmh bado bado
Ata sijaskia vibaya
Ata sijaskia vibaya
Akanishow rudi studio
Okata kadoh before you call Jones to be in your video
Ata sijaskia vibaya mmh
Nikamshow you just give me one year
I’ll be ranking shows from the front to the rear
You gonna wish you gave me that chance utalia
Utaniomba lift in my private lia
Hehe enyewe nilikuwa nimeskia vibaya Siku izi me ndo nanyimana collab Nimepanda bei
Nimepanda gwan
Wacha waskie vibaya
Wacha waskie vibaya
Sasa me ndo donga umber one
Boss lady waskie vibaaya
Nimekuwa chini nikihustle Daily na sina ubaaya
Shikisha kama veve eastleigh Nawashikisha na manjeve baridi
Kuzidi mtazidi wazidi kuskia vibaya
Ohh Wacha waskie vibaya
Wacheke na we wakutakie mabaya Kwangu kila la heri Mungu wangu halali Wakidhani ntafail Nazi hadi ulaya
Aha napiga luku na swegg hadi ni retire eeh
Najaza buku kwa deni bregi ni fire
Nipate mwisho wa mwezi cheki ni wire Napiga picha selfie kwa benki na sina haya
Chema chajiuza ni ya leo, ni ya leo, ni ya leo
Kuuza tutauza ni ya leo, ni ya leo
Nywele paka mafuta
ni ya leo, ni ya leo, ni ya leo
Kuuza tutauza
ni ya leo, ni ya leo, ni ya leo
Sasa me ndo don number one
Boss lady waskie vibaaya
ata sijaskia vibaya
Nimekuwa chini nikihustle Daily na sina ubaya
Nashikisha kama veve eastleigh Nawashikisha na manjeve baridi
ata sijaskia vibaya
Kuzidi mtazidi wazidi kuskia vibaaya natena, natema, napenda, ni tamu Wasikie wasikie, usikie , usikie, usikie mmh, wasikie, vibaaya
kama hema
Wasikie wasikie, usike , usike, usike mmh, wasikie, vibaaya
Watu watoe jacket, haha juu ya joto
Mmh Wasikie wasikie, wasikie
Uuh wasikie vibaaya eeh
Fene – na – na na na njuguna na na na na Uuh me ndo njuguna sijaskia vibaya, haa Njuguthee, sai umeskia vibaya haa
Sasa me ndo don number one
Boss lady waskie vibaaya
Nimekuwa chini nikihustle Daily na sina ubaaya
Nashikisha kama veve eastleigh Nawashikisha na manjeve baridi
Kuzidi mtazidi wazidi kuskia vibaaya Sasa me ndo don number one Boss lady waskie vibaaya
Nimekuwa chini nikihustle daily
Na sina ubaaya Yeye Nashikisha kama veve eastleigh Nawashikisha na manjeve baridi (hoiyee) Kuzidi mtazidi wazidi kuskia vibaaya
Sasa me ni donga
Boss lady wasikie vibaaya