
Selina (Re-Mix) Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2014
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Selina (Re-Mix) - Eric Wainaina
...
Selina Nyambok, you're so beautiful Sitamruhusu akuchape
Nami silali, sipati usingizi
Kula siwezi, ukilia
Selina Nyambok, you're so beautiful Selina Nyambok, Wooh
Selina Nyambok, you're so beautiful Ulitoka kwenu, bila alama
Huu si upendo, hiyo si heshima
Watu wazima huongea
Kama si hivyo, ‘ngeoa kondoo
Selina mrembo, Wooh
Kama si hivyo, ‘ngeoa kondoo
Selina mrembo, Wooh
Selina Nyambok, you're so beautiful
Ntakuwakilisha, mbele ya wazee
Kama ni shuka, kama ni mbuzi Ntawarudishia, mara mbili
Selina Nyambok, you're so beautiful
I want to marry you
So very, very beautiful
So very, very beautiful
( Breakdance)
Selina Nyambok, you're so beautiful
I want to marry you
Selina Nyambok, you're so beautiful
I want to marry you
So very, so very beautiful
So very beautiful.