Twende Twende Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2016
Lyrics
Twende Twende - Eric Wainaina
...
Bongo thinas
Bongo thinas
Zunguka Zunguzuka neni
Kuja nami tuungane tuache kuzozana
Ngatiende tiende mberi
Wajua Upendo hauna mfano hauna adui kaka
Takabatana savatema
It's pole pole going slow
But still we're keeping time
We're facing forward looking up
Forgetting what's behind
Twende Afrika heyo!
Twende Twende
Kuja nami
Twende Twende
Upande upande
We ongoza nikufuate
Tiende tiende
Mberi mberi
Twende Twende
Kwete shure
Zunguka Zunguzuka neni
Zvinoda rudo kubatana Kuti tibudirire
Twahitaji upendo ili tusonge mbele
Kutambura kwedu Zvichida hatina rudo
Ukosefu wa upendo waleta dhiki
There's more to Mama Africa
Than poverty and war
I wish we had a fighting chance
To show off who we are
Twende Twende
Kuja nami
Twende Twende
Upande upande
We ongoza nikufuate
Tiende tiende
Mberi mberi
Twende Twende
Kwete shure
Zunguka Zunguzuka neni
Bongo thinas
Bongo thinas
Bongo thinas
Hatidi
Bongo thinas
Bongo thinas
Bongo thinas
Sitaki
Ukiumizwa hata mimi ninasikia uchungu
'Kiangaishwa ninalia ukilia dada
Chinokubanda misodzi yangu inobuda
Paunosuwa moyo wangu unorwadza
You hear the music miles around
The drumbeats never end
The voices raised for Africa
Nkosi Sikeleli
Twende Twende
Kuja nami
Twende Twende
Upande upande
We ongoza nikufuate
Tiende tiende
Mberi mberi
Twende Twende
Kwete shure
Zunguka Zunguzuka neni