![Daima (Kenya Only)](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/0B/3D/rBEeM1g-x_eAMGsWAADSB_ZGGJo090.jpg)
Daima (Kenya Only) Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2016
Lyrics
Daima (Kenya Only) - Eric Wainaina
...
umoja ni fahari yetu
undugu ndio nguvu yetu
chuki na ukabila
hatutaki hatutaki hata kamwe
lazima tuungane tuijenge nchi yetu
pasiwe hata mmoja anayetenganisha naishi natumaini najitolea daima Kenya hakika ya bendera ii uthabiti wangu nyeusi ya wananchi na nyekundu ni ya damu kijani ni ardhi nyeupe ya amani daima mimi mkenya mwananchi mzalendo kwa uchungu na mateso
kwa vilio na huzuni tulinyakuliwa uhuru na mshujaa wa zamani hawakushtwa na risasi au kufungwa gerezani nia ya ukombozi kuvunja pingu za ukoloni naishi natumaini najitolea daima kenya hakika ya bendera ii uthabiti nyeusi ya wanachi na nyekundu ni ya damu kijani ni ya ardhi nyeupe ya amani daima Mimi mkenya mwananchi mzalendo wajibu wetu ni kuishi kwa upendo kutoka ziwa mpaka pwani kazkazini na kusini
naishi natumaini najitolea daima kenya Hakika ya bendera ni uthabiti wangu nyeusi ni ya mwananchi na nyekundu ni ya damu kijani ni ya ardhi nyeupe ya amani daima mmi mkenya mwananchi mzalendo
kijani ni ya ardhi nyeupe ya amani mwananchi mzalendo.