Nchi Ya Kitu Kidogo Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2016
Lyrics
Nchi Ya Kitu Kidogo - Eric Wainaina
...
Mzee alisema hakuna cha bure huo msemo tumeotafsiri kinyume hata shule kuingiza mtoto lazima utoe mchoto kupata simu ni balaa no license tafuta nunua kupoteza id ni mashaka twarudisha jamhuri yetu nyuma nchi ya kitu kidogo ni y watu wadogo