Sanitize Lyrics
- Genre:Gengetone
- Year of Release:2020
Lyrics
Sanitize - Ssaru
...
Sanitize-Ssaru×Virusi mbaya×Teardrops
Sanitizer ni thao kibeti ina mbao
nashindwa ni how tuwaulize hao ,tunaishi kama ng'ombe si hatuna makau(hatuna makau )
Nilikuwa supper na uhunye ,lunch na Ruto
na mpaka wa leo nashindwa mbona sijai joh shiba ,infact
siku hizi ndio nakunywa zaidi mpaka mathangu anachocha
mtoi wangu ni kaa siku hizi anaishi bar we chorea niliacha
kuvuta zile za Zanzibar by the way sahii niko married niliacha kutoa ma manzi bar imagine mtoi alikosa sare juu budaake alimadwa bure mi the only time I'm looking for Caro ni saa zile natafutia azam johh dohh za shule mtaa hakuna security unaezashikwa na maboy gava na but hatujali juu hata Nairobery yetu sahii tunaishi bila johh governor bro kuna vitu zinanibamba na kuna zingine hazinibambi but to hell atleast sahii kuna virusi zinashika mpaka mabarbie mbona mtaa mtu wangu hakunanga maji safi na vile mtaa naskianga ime jaa majiwasafi mbona waheshimiwa ni walafi hadi kilifi wanajichocha na bursary si tunatafuta mtu aneza kill hii fee so saa zile unajisanitize mkono si tunajisanitize akili na akili si nywele
Hii ndio life mama mboga kwa soko mume ako
home analia ako msoto hakuna hustle ya kutafutia watoto juu gava yetu imejaa tu wanoko sanitizer ni thao kibeti in a mbao nashindwa ni how tuwaulize hao tunaishi kama ng'ombe si hatuna makao {hatuna makao }
Mi nachumia kwa jua mpaka mnapo tua naraukia kuomba dua Mungu ataniepua jana leo shida kila tua nalia navumilia ila najitambua mwaka umeanza tu na visanga vikifuatanaga mpaka zinafanya tunastukaga tunaogopa kuaga mara locust kwa mabroadcast zinatangatanga sahii corona imekuja kutuongezea matanga stress ni
mingi vijana wanategemea mashada tunahepa jiji kuenda ocha tukalime mashamba hakuna wera wengine wanalala kwa vibanda na ukijibonga ukunje unaeza kulishwangwa pamba lakini bado hatuchoki kupambana juu hii ni kenya na tulishazoea drama chinjine ndume msinichinje mi ni ndama hata ikizidi maandamano tutafanya
Hii ndio life mama mboga kwa soko mume ako
home analia ako msoto hakuna hustle ya kutafutia watoto juu gava yetu imejaa tu wanoko sanitizer ni thao kibeti ina mbao nashindwa ni how tuwaulize hao tunaishi kama ng'ombe si hatuna makao (hatuna makao )
Cheki hii ni ya kila mtu mwenye jina yake haiko kwa Google but ye huamka kwenda kusearch hii ni ya kila fundi wa viatu mwenye hurauka kazini akijua akona souls kadhaa anafaa kwenda kutouch from ule kijana anatrek akienda industrial area to ule mama anakimbia clinic na new-born coz akona symptoms za malaria from wale wenye wanaenda mjengo wakiwa wamedandia lorry na hawako sorry about their story to wale wenye hawaezi tembea juu miguu imejaa majiggers our problems might be big but our God is bigger from ule graduate mwenye akona PHD na anfanya kazi kama conductor hoping that one day ataleta change si wote hatuna difference na dentist sababu tunaishi on hand to mouth si huwa tunategemea Mola maisha ni safari na nikama wengine wetu tulikula fare maisha ni safari
tunahope one day itakuwa barabara
Hii ndio life mama mboga kwa soko mume ako home
analia ako msoto hakuna hustle ya kutafutia watoto juu gava yetu imejaa tu wanoko sanitizer ni thao kibeti ina mbao nashindwa ni how tuwaulize hao tunaishi kama ng'ombe si hatuna makau (hatuna makau )
Sanitizer ni thao kibeti ina mbao nashindwa ni how tuwaulize hao tunaishi kama ng'ombe si hatuna makau(hatuna makau )
Sanitizer ni thao kibeti ina mbao nashindwa ni how tuwaulize hao tunaishi kama ng'ombe si hatuna makau(hatuna makau )
Lyrics by:@versal_tool