Gongewa Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
UTAGONGEWA
(Intro)
(Chorea Chorea)
Motif de Don
(Verse 1- Ssaru)
Nilipata mutu, jana usiku
nje ya gemi and I'm so mavitu
Vile unanistare (chorea chorea)
we unaniscare (chorea chorea)
Mapenzi ulaya Kenya Kenya biashara
Sema wapi next na hapo ndo mahali nalala
Mi hukuwanga na charm ukitouch ni mautam
Alafu naskia ati sikuizi kungongewa mambo ya town
Ilibidi nijiset kuna nigga anarequest
Ilibidi nisare jeans ju the dress ndo the best
Ukizima nachorea mi sijuangi kungojea
Mi ukinivulia vest the rest najigongea
(Chorus)
Ah Utagongewa..na si mayai
We Utagongewa na si mlango
Ah Utagongewa..na si mayai
Ah Utagongewa na si mlango
Mmmmm inaongea
Na Imeenda round sana chorea
Mmmmm kaliongea
Si mayai lakini kaligongewa
(Verse 2- Fathermoh)
Kachuch chude genje
Kanalipiwa kasoup kakae ndethe
Kadai beef lele tumisheveve
I'm no didi .....miti kwangu ni veve
Samoro idwa
Samoro okidwa
Samoro
Kuna dem anakuchocha.... okan gimoro
Si ukam tomorrow
Hapana kukam godoro
Kuclap chics ni masaa ya giza totoro
(Chorus)
Ah Utagongewa..na si mayai
We Utagongewa na si mlango
Ah utagongewa na si mayai
Ah utagongewa na si mlango
Ilibidi nihave to set sababu mi napenda magode (daily)
Ilibidi nidoz kwa cell sababu mi nakuwanga loaded (daily)
Ilibidi ilibidi ilibidi bidi didididi
Ilibidi Ilibidi bidi didididididi.
Ilibidi Ilibidi didididididi Ilibidi ilibidi ah
Ah Utagongewa..na si mayai
We Utagongewa na si mlango
Ah utagongewa na si mayai
We utagongewa na si mlango
Mmmmm inaongea
Na Imeenda round sana chorea
Mmmmm kaliongea
Si mayai lakini kaligongewa
Up ikienda down unaichorea chorea
Na ni karembo unaipolea mbolea
Fom kaa iko chini unaichorea chorea
Aty alisota juuu ya pata n potea
Up ikienda down unaichorea chorea
Na ni karembo unaipolea mbolea
Fom kaa iko chini unaichorea chorea
Aty alisota juuu ya pata n potea.