KAMKORA Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
KAMKORA - Ssaru
...
Ssaru
mavo on the beat
how a u say
karibu kwenye chemba
pewa kiti tayari ushakuwa memba
sit down get in nataka kukupa tenda katenda
januari to dicemba
rada ni jea
niko n ubeya
nataka msikiza udaku ninawapea
{shika} nikikupa unamezea
nataka mlie tena in side there
chorus
wine me this
wine me that
wine me kama uko na kishash kwa bash
am into this
am into that
i do the dance tunadundaing kwa mat
mmh ni kamkora
kamkora
leo kunapita inachomo
inachomo
kakamkora
kamkora
leo inapita inachomo
inachomo
verse
Run tu kimoja
sitaki kungoja
nataka hizo duru niuze mshakisoja
kama ni hoja zipeleke koja
tonight jipin kama utashukisha toja tunawakilisha ukitaka unaweza niitisha mia weita aniongeze shisha na chupa ya kingfisher
na umakinishe kuna watu tunawafilisha wangeni mmekaribishwa uku picha tunalipisha
chorus
wine me this
wine me that
wine me kama uko na kishash kwa bash
am into this
am into that
i do the dance tunadundaing kwa mat
mmh ni kamkora
kamkora
leo kunapita inachomo
inachomo
kakamkora
kamkora
leo kunapita inachomo
inachomo
verse
what is the matter
tushakukamata
tunaweza kukuconnet atakama umezima data
whatsapp whatsapp siku hizi zinaleta matata so talk to mmh
nini unataka nitakupa vyote nitakupa lolote nataka twende mahali mbali unifanyie chochote aahh! popote nikilala niote
na nikitrip niokote
chorus
{wine me this
wine me that
wine me kama uko na kishash kwa bash
am into this
am into that
i do the dance tunadundaing kwa mat }
wine me this
wine me that
wine me kama uko na kishash kwa bash
am into this
am into that
i do the dance tunadundaing kwa mat
mmh ni kamkora
kamkora
leo kunapita inachomo
inachomo
kakamkora
kamkora
leo kunapita inachomo
inachomo
by walase