Zitoke Lyrics
- Genre:Gengetone
- Year of Release:2021
Lyrics
Zitoke - Ssaru
...
Nimefika na niko na kusudi
Nimekuja kukubamba nikimaliza ndo nirudi
Uskize kwa sababu huna budi
Mistari za leo nimezitoa tu Burundi
Kwanza nacheki uko moody ah
Pili napenda hio hoody ah
Ata ka we ni msee wa nduthi
Amka usakate juu uzembe ni upuzi mmh
Mpaka jasho linuke ushuzi
Ushuzi, ushuzi, ushuzi shuzi
Siku hizi mnaringa mko choosy
Choosy choosy, choosy choosy
Moto mpaka unashindwa kuhandle(handle)
Niko kwenye floor songa kando(kando)
Karibia ninong'one jambo
Mi sitaki jua kama umetoka ng'ambo
Zitoke zitoke(eyy) zitoke
Zitoke zitoke(eyy) zitoke
Zitoke zitoke(eyy) zitoke
Zitoke zitoke(eyy) zitoke
Mmh fire, rende inaguaya
Ngoma inachuna npeleke ulaya
Hapa ukilegea tunakukaza na playas
Kutwa adi kucha kuja na kina Payas
Mmh zitoke mi nikuokote
You say my name nikupeleke popote (Ssaru)
Ntakupa chochote
Ata kama ni mbali tutafika uko kwote
Jichoche(jichoche), eyy jichoche tu
Eyy Zitoke, (eyy toke) zitoke tu
Moto mpaka unashindwa kuhandle(handle)
Niko kwenye floor songa kando(kando)
Karibia ninong'one jambo
Mi sitaki jua kama umetoka ng'ambo
Zitoke zitoke(eyy) zitoke
Zitoke zitoke(eyy) zitoke
Zitoke zitoke(eyy) zitoke
Zitoke zitoke(eyy) zitoke